Yanayojiri Bungeni baada ya kamati ya uongozi kuketi

Yanayojiri Bungeni baada ya kamati ya uongozi kuketi

Hizo fedha ni zetu watanzania na wanapewa fungu toka serikalini kwa ajili ya kuendesha tbc.

Moja ya kazi ya tbc ni kuonyesha live bunge ketu tukuku,kumbuka sio bunge la ccm.

Saa nne usiku ni muda wa kulala sio kuangalia bunge ambalo litakuwa limehaririwa huku wakiwaonyesha wabunge wa ccm wanavyopiga makofi

Tunahita bunge letu lionyeshwe live sio ombi ni lazima
 
Mtu yeyote anayeshabikia Bunge kutokuwa live atakuwa anasumbuliwa na kitu asichokijua.

Hofu ya serikali ni nini kuonekana kwa wabunge live?????
 
Moyo wangu unaniuma sielewi wp tunaenda, na kama hoja ni gharama kuna tv binafsi zipewe nafasi yakurusha matangazo hayo moja kwa moja
 
Hii itakuwa aibu ya karne kwa uongozi wa awamu hii
Nadhani hawa mawazili wamepanga kumuharibia jpm sidhani kwa serikali hii kuna haja ya kuficha chochote,

Kama ndivyo wananchi wataamini hata dhana ya utumbuaji majipu itakuwa uongo.

Kwa serikali iliyojipambanua kwa kuwajari wananchi wake sidhani kama kuna Baja ya kuficha chochote.

Tutamkumbuka JK muda si mrefu.
 
Kwa wale wanaopenda kufuatilia bunge. AzamExtra wapo live sasa
Huu ni muda mwafaka wa kujua mbivu na mbichi kuhusu tamko la Nape baada ya kamati ya uongozi kukaa.
=========

Anaeongea kwa sasa ni mwenyekiti wa bunge na anatoa maazimio ya kamati, amesema mjadala uendelee kama ulivyopangwa na ambae hajaridhika afikishe malalamiko yako kwa mamlaka husika.

Lissu(Muongozo): Muongozo wangu unahusu uamuzi ulioutoa, Ni sahihi kwa mambo ambayo yanayotakiwa yatolewe uamuzi na spika/mwenyekiti na kutotekeleza madaraka yake na mambo hayo yapelekwe kwenye kamati ya uongozi. Tangu lini maswala ya kanuni yakapelekwe kwenye kamati ya uongozi badaa ya kamati ya kanuni?

Muongozo wa mwenyekiti(Chenge): Tafsiri ya mwenyekiti ni kama inavyosomeka kwenye kanuni(Anaisoma), kwa mila na desturi za bunge, pale ambapo kuna hoja inayohitaji maamuzi ya pamoja, kamati ya uongozi ikiongozwa na spika inafanya hio kazi. Mjadala wa hotuba ya Rais unaendelea

Chenge: Hatuwezi kutumia muongozo ku-delay shughuli za bunge

Heche: Ukisoma katiba yetu, kila mtu ana haki ya kupewa taarifa, mwenyekiti nafikiri tuko kujadili masuala muhimu ya waananchi wetu, itakua ajabu sisi kukaa humu ndani na kuvunja katiba na hoja hapa ni bunge kuruka live na hatua gharama anazosema Nape zinatoka wapi?.

Chenge: Mwingine anaetaka muongoza!

Wabunge wengi wa upinzani wamesimama kuomba muongozo

Chenge: Ndugu Heche, Hoja yako ya katiba, nalichukua hilo na tutalitolea uamuzi baadae, waheshimiwa wabunge haiwezekani wote hawa wakasimama kuomba muongozo.
=========

View attachment 319571

Hapa Spin doctors wapo kazini ili kutuhamisha kwenye mjadala muhimu zaidi wa Zanzibar ili tusahau ya Zanzibar kw kuleta hoja za TBC
 
Eric Cartman,

..usiwalaumu ukawa peke yao.

..bunge maalum la katiba walipoachwa ccm peke yao vituko na mipasho ndiyo vilizidi.

..hizi zote naziona kama ni jitihada za ccm kutaka wabunge wa upinzani wasisikike.

..tayari Waziri Mkuu alipokiuwa mikoa ya kusini alitoa amri kwamba walioshindwa uchaguzi wasiruhusiwe kufanya mikutano ya hadhara. sasa agizo hilo lina athari kubwa sana kwa ukawa ukizingatia kwamba wao kwa kiwango kikubwa ndiyo walioshindwa uchaguzi.

..kwa hiyo bungeni wamezuiwa. huku uraiani nako wamepigwa marufuku mikutano ya hadhara.
 
Polisi wanatakiwa kuwa hivi ukiwachekea wabunge wajinga wapenda sifa watalifanya bunge kuwa kama kundi la bavicha.
 
Hi nchi tunakokwenda kubaya sna....km ni hzo garama mbona zinakatwa kutoka kwenye kodi zetu?sisi hatuoni garama wao wanaonaje?nn wanachokificha.?aise tutamkumbuka jk
 
Eric Cartman,

..usiwalaumu ukawa peke yao.

..bunge maalum la katiba walipoachwa ccm peke yao vituko na mipasho ndiyo vilizidi.

..hizi zote naziona kama ni jitihada za ccm kutaka wabunge wa upinzani wasisikike.

..tayari Waziri Mkuu alipokiuwa mikoa ya kusini alitoa amri kwamba walioshindwa uchaguzi wasiruhusiwe kufanya mikutano ya hadhara. sasa agizo hilo lina athari kubwa sana kwa ukawa ukizingatia kwamba wao kwa kiwango kikubwa ndiyo walioshindwa uchaguzi.

..kwa hiyo bungeni wamezuiwa. huku uraiani nako wamepigwa marufuku mikutano ya hadhara.
Mkuu hayo mawili nayaunga mkono 100% na serikari aitakiwi ku-back down kwa kile kilicho sahihi.

Serikari aijasema kuwa bunge lisirushwe live na wengine isipokuwa TBC aiwezi kutumia sh 4.2 billion annually to broadcast unnecessary events. Kwanza kuna sababu gani ya TBC kurusha kipindi ambacho star TV, Azam TV, radio luluki ambazo zinarusha live? pamoja na ITV kwenye mijadala muhimu inarusha pia.

On the other hand serikari pia ina majukumu ya kubalance reception ya media kwa walaji more than any of those private broadcasters binafsi kwa miaka kadhaa nimekuwa nikiwalaumu TBC kuwa na vipindi vibofu visivyo na tija na wakati kuna uchache wa social cohesion programmes na value za taifa, educational documentaries ambazo zinahitajika (mfano tangia kipindu kipindu kianze ni TV gani imeweza tengeneza documentary ambayo inaelezea kwa kirefu nini maana ya kipindu kipindu ikazunguka mtaani kuonyesha madhara, ikaenda mahospitali kitaifa kuongea na wataalamu, jamii, mazingira etc hili kusaidia kutoa elimu) hivyo vitu vinataka hela na budget.

Sasa 4.2 billion can add a lot of awareness enhancement kama part ya kusaidia jamii kwenye mambo mengi kuliko kutumika for parliament effects ambayo mara nyingi aina sera kutoka kwa UKAWA. Kama hapa waziri akujianzia alitoa sababu, sawa sipingi mtu kuwa na maono tofauti jibu hoja basi kwanza ya limited resources na changamoto za TBC za kurusha ratio ya vipindi 3:1 kati ya elimu na burudani kutokana na budget yao.

Kama wanatakiwa kutengeneza zaidi vipindi vya elimu from scratch somewhere cuts have to be made without affecting the society sasa tayari kuna Star TV, Azam TV, Radio bado tu na TBC iendelee ku support uncultivated parliament events which adds nothing to a person awareness other than watching rogue politicians who seem to think being noisy is what is constitute a good parliament session (kwanza there is a negative effect in terms of knowledge ya uongozi to the public because of misinterpretation on leadership conduct which is regularly displayed by UKAWA as to what is acceptable; some people might come to believe differently on how politicians should behave).

Isitoshe mpaka sasa hoja kuu na sababu za serikari awajazijibu walau tusikie upande wao kwanini TBC inaweza fikia malengo malengo yake bila ya kukata matangazo ya bunge; wanachotaka ni kuleta fujo tu if anything sanasana wanaiongezea nguvu hoja kwa watu wenye kujali ubora wa vipindi serikari iko sahihi futa budget ya kuonyesha huu upuuuzi auna tija kwa walaji kabisa.

Kuhusu waziri Mkuu kuzuia mikutano ya kisiasa uchaguzi unapoisha ina maana kampeni pia zimeisha huna sababu ya kutoa shukrani huko ni sawa na kufanya kampeni tu na hakuna nchi duniani ina ruhusu kufanya kampeni pasipo uchaguzi kwa sababu za kutotaka vurugu hata nchi ziliondelea hilo swala aliruhusiwi iweje tuwe tofauti katika dhana hiyo hiyo ya kulinda umoja wa watu baada ya uchaguzi (na ndio kazi ya kwanza kwa serikari yoyote inayoingia madarakani kurudisha umoja kwanza baada ya uchaguzi).
 
Hakuna anaye weza kurusha bure haya matangazo...
Nini madhumuni ya TBC?? Ni kurusha mikutano ya CCM na chereko chereko siyo? Nani anawalipa wafanyakazi wa TBC? Nani ananunua vitendea kazi vya TBC?? Kwa nini wasirushe bure tena live vipindi vya bunge?? Na kama hawana uwezo waache hiyo monoloply ya vipindi vya Bunge.
 
Hii ni dhahiri sana kuwa African people hatujastaarabika kabisa,ni kutojiamini,kuhisi kushindwa,woga,wizi,kutowajibika,dhuluma,uonevu na mengine mengi. Walianza na Mawio sasa wanadhibiti na media nyingine..Ni uhuni mkubwa sana huu ulio wakijinga kwa kiwango cha juu sana
 
Mkuu hayo mawili nayaunga mkono 100% na serikari aitakiwi ku-back down kwa kile kilicho sahihi.

Serikari aijasema kuwa bunge lisirushwe live na wengine isipokuwa TBC aiwezi kutumia sh 4.2 billion annually to broadcast unnecessary events. Kwanza kuna sababu gani ya TBC kurusha kipindi ambacho star TV, Azam TV, radio luluki ambazo zinarusha live? pamoja na ITV kwenye mijadala muhimu inarusha pia.

On the other hand serikari pia ina majukumu ya kubalance reception ya media kwa walaji more than any of those private broadcasters binafsi kwa miaka kadhaa nimekuwa nikiwalaumu TBC kuwa na vipindi vibofu visivyo na tija na wakati kuna uchache wa social cohesion programmes na value za taifa, educational documentaries ambazo zinahitajika (mfano tangia kipindu kipindu kianze ni TV gani imeweza tengeneza documentary ambayo inaelezea kwa kirefu nini maana ya kipindu kipindu ikazunguka mtaani kuonyesha madhara, ikaenda mahospitali kitaifa kuongea na wataalamu, jamii, mazingira etc hili kusaidia kutoa elimu) hivyo vitu vinataka hela na budget.

Sasa 4.2 billion can add a lot of awareness enhancement kama part ya kusaidia jamii kwenye mambo mengi kuliko kutumika for parliament effects ambayo mara nyingi aina sera kutoka kwa UKAWA. Kama hapa waziri akujianzia alitoa sababu, sawa mtu anaweza kuwa na maono tofauti jibu hoja basi kwa ya limited resources na changamoto za TBC kutokana na budget yao huku wakitakiwa kutengeneza zaidi vipindi vya elimu somewhere cuts have to be made without affecting the society sasa tayari kuna Star TV, Azam TV, Radio bado tu na TBC iendelee ku support uncultivated parliament events which adds nothing to a person awareness other than watching rogue politicians who seem to think being noisy adds is what is constitute a good parliament session (there is a negative effect as to what some people might come to believe on how politicians should behave).

Mpaka sasa hoja za serikari awajajibu wanachotaka kuleta fujo tu if anything sanasana wanaiongezea nguvu kwa watu wenye kujali ubora wa vipindi serikari iko sahihi futa budget ya kuonyesha huu upuuuzi auna tija kwa walaji kabisa.

Kuhusu waziri Mkuu uchaguzi unapoisha ina maana kampeni pia zimeisha huna sababu ya kutoa shukrani huko ni sawa na kufanya kampeni tu na hakuna nchi duniani ina ruhusu kufanya kampeni pasipo uchaguzi kwa sababu za kutotaka vurugu hata nchi ziliondelea hilo swala aliruhusiwi iweje tuwe toofauti katika dhana hiyo hiyo ya kulinda umoja wa watu baada ya uchaguzi.

..itakuwa ni kitu cha ajabu kwelikweli kwa TV ya taifa kutokuonyesha vipindi vya bunge.

..Star TV, Azam TV, etc wana hiari ya kurusha ama kutokurusha mikutano ya bunge. Lakini TBC, kutokana na wao kuwa ni televisheni ya taifa suala hili ni la lazima.

..Nafahamu haikuwa nia yako, lakini hoja yako inaweza kujenga dhana kwamba TBC na hivi vyombo vingine they complement each other. TBC ni tv ya taifa na haina mbadala au mwenza ktk jukumu hilo.

..bunge halikai vikao mwaka mzima, kwa hiyo upo muda mrefu sana ambapo bunge halikutani, TBC wanaweza kurusha vipindi vya kuelimisha wananchi.

..Kwa maoni yangu Waziri Nape angewasilisha hoja yake kama pendekezo. Angewaachia wabunge jukumu la kumshauri njia bora ya kurusha vipindi vya bunge ktk namna ambayo itazingatia uwezo wa serikali kifedha na azma nzima ya kubana matumizi.

..Lakini hii session ambapo wabunge wanajadili hotuba ya Raisi nadhani siyo haki isirushwe live. Kwa maoni yangu ilipaswa kurushwa live na baadaye kuwe na marudio. Pia sikubaliani na mapendekezo kwamba kipindi maalum cha bunge kiwe kinarushwa saa 4 usiku. Kwa nchi za wenzetu saa 4 usiku ni muda wa kurusha vipindi vya watu wazima. Ningependekeza kipindi cha bunge maalum kirushwe mara baada ya taarifa ya habari.

..Kuhusu agizo la Waziri Mkuu sidhani kama ana mamlaka ya kuwapangia wanasiasa wenzake nini cha kusema wanapokuwa ktk mikutano ya siasa. Pia haki ya kukusanyika ni suala la kikatiba kwa hiyo agizo la waziri mkuu kwa maoni yangu linakwenda kinyume na katiba.
 
Mkuu hayo mawili nayaunga mkono 100% na serikari aitakiwi ku-back down kwa kile kilicho sahihi.

Serikari aijasema kuwa bunge lisirushwe live na wengine isipokuwa TBC aiwezi kutumia sh 4.2 billion annually to broadcast unnecessary events. Kwanza kuna sababu gani ya TBC kurusha kipindi ambacho star TV, Azam TV, radio luluki ambazo zinarusha live? pamoja na ITV kwenye mijadala muhimu inarusha pia.

On the other hand serikari pia ina majukumu ya kubalance reception ya media kwa walaji more than any of those private broadcasters binafsi kwa miaka kadhaa nimekuwa nikiwalaumu TBC kuwa na vipindi vibofu visivyo na tija na wakati kuna uchache wa social cohesion programmes na value za taifa, educational documentaries ambazo zinahitajika (mfano tangia kipindu kipindu kianze ni TV gani imeweza tengeneza documentary ambayo inaelezea kwa kirefu nini maana ya kipindu kipindu ikazunguka mtaani kuonyesha madhara, ikaenda mahospitali kitaifa kuongea na wataalamu, jamii, mazingira etc hili kusaidia kutoa elimu) hivyo vitu vinataka hela na budget.

Sasa 4.2 billion can add a lot of awareness enhancement kama part ya kusaidia jamii kwenye mambo mengi kuliko kutumika for parliament effects ambayo mara nyingi aina sera kutoka kwa UKAWA. Kama hapa waziri akujianzia alitoa sababu, sawa sipingi mtu kuwa na maono tofauti jibu hoja basi kwanza ya limited resources na changamoto za TBC za kurusha ratio ya vipindi 3:1 kati ya elimu na burudani kutokana na budget yao.

Kama wanatakiwa kutengeneza zaidi vipindi vya elimu from scratch somewhere cuts have to be made without affecting the society sasa tayari kuna Star TV, Azam TV, Radio bado tu na TBC iendelee ku support uncultivated parliament events which adds nothing to a person awareness other than watching rogue politicians who seem to think being noisy is what is constitute a good parliament session (kwanza there is a negative effect in terms of knowledge ya uongozi to the public because of misinterpretation on leadership conduct which is regularly displayed by UKAWA as to what is acceptable; some people might come to believe differently on how politicians should behave).

Isitoshe mpaka sasa hoja kuu na sababu za serikari awajazijibu walau tusikie upande wao kwanini TBC inaweza fikia malengo malengo yake bila ya kukata matangazo ya bunge; wanachotaka ni kuleta fujo tu if anything sanasana wanaiongezea nguvu hoja kwa watu wenye kujali ubora wa vipindi serikari iko sahihi futa budget ya kuonyesha huu upuuuzi auna tija kwa walaji kabisa.

Kuhusu waziri Mkuu kuzuia mikutano ya kisiasa uchaguzi unapoisha ina maana kampeni pia zimeisha huna sababu ya kutoa shukrani huko ni sawa na kufanya kampeni tu na hakuna nchi duniani ina ruhusu kufanya kampeni pasipo uchaguzi kwa sababu za kutotaka vurugu hata nchi ziliondelea hilo swala aliruhusiwi iweje tuwe tofauti katika dhana hiyo hiyo ya kulinda umoja wa watu baada ya uchaguzi.
7aae7e8a8fcdc5960644400e33069922.jpg

Shida ya wabunge wetu wakiwa live wanakuwa comedy kutaka waonekane bora yasioneshwe kabisa.

Hii itakuwa aibu ya karne kwa uongozi wa awamu hii
Nadhani hawa mawazili wamepanga kumuharibia jpm sidhani kwa serikali hii kuna haja ya kuficha chochote,

Kama ndivyo wananchi wataamini hata dhana ya utumbuaji majipu itakuwa uongo.

Kwa serikali iliyojipambanua kwa kuwajari wananchi wake sidhani kama kuna Baja ya kuficha chochote.
 
Mkuu Jokakuu

Hoja ya msingi sio kurusha au kutokurusha tu (hiyo ni simplicity wanayotumia UKAWA), bali ni limited budget and opportunity lost.

Television ya serikari pia aina luxury ya kuwa na hiari nyingi sana kwenye vipindi vyake kama private organization kwa mfano its their duty kutenegeneza vipindi vya propaganda za nationalism na hiyo ndio misingi mikuu ya cohesion ya taifa lolote bila ya propaganda basi ujue unavurugwa dakika moja tu, aina hiari ya kutengeneza vipindi vya elimu kushirikiana na taasisi zingine kutoa elimu ya umma juu ya siasa, afya, mazingira (kuna watu leo bado wanashindwa kuelewa mizizi ya kina kuhusu mgogoro wa wafugaji na wakulima), in short aina hiari ya mambo mengi sana kwenye jukumu lao kama public broadcaster la kutoa elimu ya jamii, not to forget the organization works with a limited budget.

Ndio hoja ilipo serikari inaona bora ijaribu ku save hizo billion 4 kusudi isadie kufikia malengo yake ya kutengeneza vipindi vya elimu ambavyo vinatakiwa kuwa ni 75% ya programmes aired kama mission ya TBC iliyopewa.

Kutokana na hoja hiyo wewe unadhani TBC iendelee kurusha bunge at that cost watu wasikilize upuuzi isitoshe wako na wengine pia wanaonesha vipindi hivyo hivyo (kwa maana hiyo hakuna loss of news) or itengeneze vipindi vya elimu hapa ndio hoja yao ilipo cha muhimu ni social benefit za watanzania wote wanaolipa kodi. So far binafsi naona budget ya bunge ikwate kama imekuwa ndio sababu ya TBC kupungiwa hela ya kutengeneza vipindi vya elimu.
 
Back
Top Bottom