Nyie mnaomtisha mwenzenu kuwa piki piki ni risk basi muongezeeni hela akanunue gari sio mnoangea kama mabinti wa promosheni....
Mimi nina mwaka wa kumi natumia piki piki na sijawahi hata kupata mchubuko wa ajali...chombo chochote cha moto kinataka nidhamu ya hali unapokiendesha.....nina ndugu na marafiki wengi waliopoteza maisha na kupata vilema kwa ajali za gari.....na pia ninawafahamu wengi waliopata ulemavu kutokana ajali za piki pik......na hii mara nyingi huchangiwa na uzembe wa dereva pamoja na mwendo kasi.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.