Msaada juu ya pikipiki bora

mdau kbt

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
401
166
nataka kununua piki piki ila niko dilema, juu ya brand na pikipiki bora yenye range ya Tshs.1.9- 2 M.
 
pikipiki ni kama bomu la kujitoa muhanga yaan hadi kupanda bodaboda niwe na safari ya lazima sana na hakuna usafili mbadala zaidi ya pkpk
kama uko poa ongeza ongeza ifike ml 4 hivi inaweza kupata kagali ka mkononi kalicho ktka hali nzuri mm sikushauli pkpk kwa usafli binafs ndgu zetu wengi tumewapoteza kutokana na usafili huu unarisk nyingi sana

ila ka unapenda pkpk tafuta HONDA
 
Kama hupandi kaa kimya, acha kutuharibia wateja.
 
Back
Top Bottom