Recent content by isabella

  1. isabella

    Umri gani ni mzuri mtu kuoa ?

    you are not serious.............40yrs halafu akikosa mtoto miaka hiyo aseme karogwa au nini. umri wa kuoa unategemea na mtu mwenyewe kama yuko tayari kifikra,kimwili na kifedha.kama anavyo vyote what is he waiting for,magonjwa?
  2. isabella

    Msaada: Kuwashwa njia ya haja kubwa

    huwa inasababishwa na minyoo ya aina fulani jina nimelisahau ambao hutaga mayai eneo hilo na hivyo mayai hayo husababisha muwasho....kuna dawa fulani ya kupaka inaitwa preparation ni ya tube itafute uwe unapaka na vilevile unywe dawa ya minyoo
  3. isabella

    Msiba mzito wamkumba mwenzetu: KOKUTONA apoteza mtoto wake!

    pole koku Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki cha majonzi.......
  4. isabella

    Wapi nitapata brown rice kwa bei nzuri?

    shoppers plaza pia upo
  5. isabella

    Ananinyanyasa kifikra,naombeni ushauri wenu plz

    what doesnt kill you makes you stronger.huna haja ya kuanza kujipa tabu na kujiumiza moyo kwa kumuwaza huyo ambaye wala hakua wa kwako.ushauri wangu ni kwamba simama na uanze maisha mapya acha kupoteza muda wa kumuwaza ambaye ana mtu mwingine anayemuwaza haswa huyo wa mlimani city.........ila...
  6. isabella

    Kipi kati ya hivi huvunja mahusiano???

    ugomvi ugomvi wa kila siku na mmoja wenu akikosa kujali
  7. isabella

    Anataka serious relationship,humjui hakujui ila siku ya kwanza tu anataka game.

    Natumai wote tu wazima, Hii imemtokea rafiki yangu anayesaka ndoa kwa udi na uvumba,na akanisimulia jinsi alivyokutana na huyo mtu wake.baada ya kunielezea yote hayo nikaamua kuja kuwauliza na nyie mtoe mtizamo wenu juu ya hili. hivi umekutana na mwanaume leo yani humfahamu na wala yeye...
  8. isabella

    Maumivu ya nafsi oooooh msaada plz

    kwa mimi binafsi nakushauri usimuache kisa umeona picha alizopiga akiwa"anaget busy na ex wake" coz hata ukiamua kutoka na msichana mwingine ukamuacha huyo as long as she is not a virgin ni lazima awe ameyafanya hayo mambo tofauti ni kwamba yeye hakupiga picha tu. ushauri mwingine ni kwamba...
  9. isabella

    Nina mpenzi nimemchoka na simpendi lakini nashndwa jinsi kumuacha nifanyeje???????

    tafuta jinsi ya kumwambia aelewe ILA SIKU NYINGINE USIJARIBU KABISA KUCHEZA NA MOYO WA MTU.kama ulijua hayo yote ya kabila lake, umri wake na kwamba una mtu mwingine kwa nini uliendelea naye mpaka mkapelekana si chini ya mara tatu.whyyyyyyy?????????? .............................What goes...
  10. isabella

    Ukitaka kumdelete mpenzi aliyekutenda ufanyeje?

    pole,ila ninachoweza kukushauri is that kila unapokua unamkumbuka usiwe unawaza mazuri yake coz yatakuumiza moyoni just think about his bad things that he has ever done to you.......ni ngumu ila jaribu it might work
  11. isabella

    Gone Too Soon: RIP JF Member.....Chetuntu!!!

    bwana ametoa na bwana ametwaa.....RIP
  12. isabella

    Yamenikutaaa ndugu zangu

    sikiliza moyo wako unavyokuambia,ila sikushauri uendelee naye.
  13. isabella

    Nakinahi Mapema

    if you only knew how it feels like kuachwa bila kosa lolote,usingekua unafanya hivyo. ninachoweza kukwambia ni kwamba"try to appreciate what you have and grow up"
Back
Top Bottom