Unani slam nifanye research kwanza halafu na wewe unaanza ku criticize wahudumu wa afya. Watanzania tunapata tabu sana kwenye kujieleza, mfumo wetu wa elimu ufumuliwe.kabla ya kusema hivyo fanya research ya kutosha ili usije ukalaumu vitu ambavyo sivyo. in any case kama ni kweli then i pity medical profession and ningeomba Mungu ... Pili iwapo hoja hii ni ya kweli basi ninaomba
sijawacritize wahudumu wa afya nilijaribu tu kurespond hoja yako ulyosema hivi "Unani slam nifanye research kwanza halafu na wewe unaanza ku criticize wahudumu wa afya,
.mkuu nadhani nimejieleza vizuri sana labda wewe mwenyewe ndo umeshindwa kunielewa. hata hivyo kama mimi peke yangu ndo nimeshindwa kujieleza usiwajumlishe watanzania zaidi ya mil 40. Wapo watanzania wazuri wanaohesabika duniani, usiwadhalilishe kwa ajili ya kiumbe kimoja tu (mimi). naomba uniwie radhi kama nimekukwaza hapa.Watanzania tunapata tabu sana kwenye kujieleza, mfumo wetu wa elimu ufumuliwe.
kila kitu Mungu ndio huneemesha na kumsifu kunapendeza. tunapoweka mikakati ya kukabiliana na mambo kama haya pia lazima tumkukumbuke mungu ili aweze kuneemesha mikakati yenyewe. Ni kweli Go do not play dice but he could as well protected the death if he so wished regardless of prevailing circumstances so ipo sawa kabisa tunaposema "Mungu ametwaa na Mungu ametwaa". Remember no one can take away life except GodHabari ya Mungu ametwaa Mungu amegawa ni upupu, God doesn't play dice.
inaruhusiwa Chiko...Ubarikiwe sana kwa kumtakia Mpendwa wetu Kheri Njema kule aliko hata kama binafsi Dua hiyo sijaielewa lakini Mwenyezi Mungu ameipokea. Najua ipo siku pia nitajifunza nakuielewa vemaInnah Lilahi Wa-inaa illahi Rajiooon!!!!!
Innah Lilahi Wa-inaa illahi Rajiooon!!!!!
Inamaanisha "Hakika sisi sote ni wa (tumetoka kwa) Mungu na hakika tutarejea sote kwake".inaruhusiwa Chiko...Ubarikiwe sana kwa kumtakia Mpendwa wetu Kheri Njema kule aliko hata kama binafsi Dua hiyo sijaielewa lakini Mwenyezi Mungu ameipokea. Najua ipo siku pia nitajifunza nakuielewa vema
Pole sana ndugu na jamaa wa marehemu...wote tumehuzunika...R.I.P DADA YETU MPENDWA.