Ukitaka kumdelete mpenzi aliyekutenda ufanyeje?

Vituka

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
2,257
1,247
I want to delete this man permanently in my heart and my life. Nipeni ushauri, nifanyeje? Nikutanapo na ndugu, jamaa na rafiki zake ambao tulizoeana nao sana, nashindwa kumsahau na ninatonesha kidonda upya.

Naombeni ushauri wenu.

msamehe utakuwa na amani na ukikutana na rafiki zake be happy hata ile ya kujilazimisha .

Matatizo hayakimbiwi shosty halafu ubongo kazi yake ni kukumbuka hivyo huwezi kumsahau foreva hata ujidanganye vipi.

Be buzy, fanya mambo unayoyapenda/activities, chukulia kama uliyopitia ni changamoto ya maisha, usikutane na hao ndugu zake labda iwe kwa bahati mbaya, uwe na mawazo +ve kuhusu maisha yako na unapokwenda, msamehe kama alikukwaza ili usiendelee kuwa na kinyongo nae, sali sana na jichanganye na rafiki zako!

Sijui nikwambiaje, nilimpenda sana mtu alivyonitenda sikutegemea. Watu wanasema kuwa uyaone lakini mimi nilihisi kuzeeka! Sijamsahau ila muda umekwenda nimepata courage ya kuendelea na maisha yangu.

Muda unatibu ugonjwa ma mapenzi.
Kaa mbali na watu wanaokukumbusha huyo mtu
Hadi utakapokuwa umepona, utamsamehe na kuweza kumchukulia kawaida.

msamehe utakuwa na amani na ukikutana na rafiki zake be happy hata ile ya kujilazimisha .

Niejitaidi sana Sister kumsamehe ila mh, ni ngumu sana ila kwa uwezo wa Mungu I believe ntashinda.

Thanks kwa ushauri

Matatizo hayakimbiwi shosty halafu ubongo kazi yake ni kukumbuka hivyo huwezi kumsahau foreva hata ujidanganye vipi.

Be buzy, fanya mambo unayoyapenda/activities, chukulia kama uliyopitia ni changamoto ya maisha, usikutane na hao ndugu zake labda iwe kwa bahati mbaya, uwe na mawazo +ve kuhusu maisha yako na unapokwenda, msamehe kama alikukwaza ili usiendelee kuwa na kinyongo nae, sali sana na jichanganye na rafiki zako!

Sijui nikwambiaje, nilimpenda sana mtu alivyonitenda sikutegemea. Watu wanasema kuwa uyaone lakini mimi nilihisi kuzeeka! Sijamsahau ila muda umekwenda nimepata courage ya kuendelea na maisha yangu.

Mbaya zaidi nina mtoto na yeye na kila siku anauliza where is dady!Natamani kumwambia he is dead ila ntamsononesha mwanangu. Im trying sana kusali, na naamini nitamsahau tu siku moja.

Thanks Belinda

Muda unatibu ugonjwa ma mapenzi.
Kaa mbali na watu wanaokukumbusha huyo mtu
Hadi utakapokuwa umepona, utamsamehe na kuweza kumchukulia kawaida.

Siku ikifika nikamsahau na kumsamehe ntakuwa na amani sana. Asante Kongosho kwa ushauri

Sasa kama una mtoto nae how can you forget him...labda umsamehe tu ili ukimkumbuka usikasirike...

I want to delete this man permanently in my heart and my life. Nipeni ushauri, nifanyeje? Nikutanapo na ndugu, jamaa na rafiki zake ambao tulizoeana nao sana, nashindwa kumsahau na ninatonesha kidonda upya.

Naombeni ushauri wenu.
futa namba yake kama bado unayo,chana picha zote kama unazo,,jiweke busy na mambo mengine kabisa,,jitahidi ukikutana na hao ndugu zake kujaribu kukwepa story au usikae nao sana kama unahisi watakukumbusha na jaribu kuonyesha wao kuwa hupendi kukumbushwa kuhusu mpnz wako..

Niejitaidi sana Sister kumsamehe ila mh, ni ngumu sana ila kwa uwezo wa Mungu I believe ntashinda.

Thanks kwa ushauri
jitahidi tu mamy mana hata mimi yalinikuta na mbaya zaidi rafiki yake wa karibu kila siku nakutana nae mana tunafanya kazi gorofa moja , so jitahidi tu kwa uwezo wa mungu utashinda.

Just forgive him, lakini pia be busy na mambo yako, usiruhusu akili yako imkumbuke kila wakati na autoamitic hutakuwa ukimkumbuka kihiivyo, na ninaamini ukipata patner mwingine huyo utamsahau kabisa mtabaki kuwasiliana maybe kwa mambo ya mtoto if necessary

pole,ila ninachoweza kukushauri is that kila unapokua unamkumbuka usiwe unawaza mazuri yake coz yatakuumiza moyoni just think about his bad things that he has ever done to you.......ni ngumu ila jaribu it might work

ni ngumu sana kumchukia mtu uliyempenda
bora ajitahidi kuwa bize na kuepuka kukaa sehemu walizokuwa wanakwenda wote hadi atakapokuwa tayari.

Lakini, ni muda tu ndio huponya mapenzi.

pole,ila ninachoweza kukushauri is that kila unapokua unamkumbuka usiwe unawaza mazuri yake coz yatakuumiza moyoni just think about his bad things that he has ever done to you.......ni ngumu ila jaribu it might work

Mbaya zaidi nina mtoto na yeye na kila siku anauliza where is dady!Natamani kumwambia he is dead ila ntamsononesha mwanangu. Im trying sana kusali, na naamini nitamsahau tu siku moja.

Thanks Belinda

kuzaa na mtu co 7bu kbs
toa hlo wazo kwnz,then utaweza kusonga mbele..

Unajisikiaje? Dhaifu? huna dhamani?

Anaweza akwa amekutenda lakini hajaondoka na utu wako. Chukulia kwamba amekuacha kwa sababu ni mwoga na asiye wajibika na hakustahili penzi lako.

Jiachie na kuamini ww ni mwenye dhamani na unastahili mwanaume bora zaidi( anayejua kuwajibika), unapokuwa na hasira na kukosa furaha unampa nafasi ya kukuhukumu, ila ukiwa mtulivu na mwenye  furaha itamwumiza na kujiona alifanya kosa. Usimkwepe yy wala rafiki zake wala ndugu zake, tena ukikutana nao jaribu hata kulazimisha furaha.

Jenga kujiamini na hali hiyo itakwisha kadri muda unavyoenda ila kamwe usiingie kwenye uhusiano mpya katika kipindi hiki.

Unajisikiaje? Dhaifu? huna dhamani?
Anaweza akwa amekutenda lakini hajaondoka na utu wako. Chukulia kwamba amekuacha kwa sababu ni mwoga na asiye wajibika na hakustahili penzi lako.
Jiachie na kuamini ww ni mwenye dhamani na unastahili mwanaume bora zaidi( anayejua kuwajibika), unapokuwa na hasira na kukosa furaha unampa nafasi ya kukuhukumu, ila ukiwa mtulivu na mwenye furaha itamwumiza na kujiona alifanya kosa.
Usimkwepe yy wala rafiki zake wala ndugu zake, tena;ukikutana nao jaribu hata kulazimisha furaha.
Jenga kujiamini na hali hiyo itakwisha kadri muda unavyoenda ila kamwe usiingie kwenye uhusiano mpya katika kipindi hiki.

kuzaa na mtu co 7bu kbs
toa hlo wazo kwnz,then utaweza kusonga mbele..

heee..Kawa mbwa adi asi consider kuzaa nae? ..
Kutokusahau ngumu!Mchukulie kawaida sana,mdo mdo utapoteza,bydway kakutenda kwa sana ad kumsamehe ngumu! Mana ka ni sampuli ya kutokujilekebisha na kawaida yake,bas mtie BAN YA MOJAKWAMOJA

heee..Kawa mbwa adi asi consider kuzaa nae? ..
Kutokusahau ngumu!Mchukulie kawaida sana,mdo mdo utapoteza,bydway kakutenda kwa sana ad kumsamehe ngumu! Mana ka ni sampuli ya kutokujilekebisha na kawaida yake, bas mtie BAN YA MOJAKWAMOJA
Hii ndio lugha gani tena Mkuu?

Similar Discussions

Back
Top Bottom