Anataka serious relationship,humjui hakujui ila siku ya kwanza tu anataka game.

isabella

Member
Aug 22, 2011
23
16
Natumai wote tu wazima,
Hii imemtokea rafiki yangu anayesaka ndoa kwa udi na uvumba,na akanisimulia jinsi alivyokutana na huyo mtu wake.baada ya kunielezea yote hayo nikaamua kuja kuwauliza na nyie mtoe mtizamo wenu juu ya hili.

hivi umekutana na mwanaume leo yani humfahamu na wala yeye hakufahamu ila ndiyo mnataka kujuana.siku ya kwanza mnaanza kuchat kwa simu mwanaume anaomba kufanya mapenzi na wewe ili ajue upo vipi huko chini na ajue kama aendelee na wewe au atafute mtu mwingine kama akikukuta hauko vile anavyotaka.

Swali langu ni kwamba je huyu mtu anakua amekuonaje,that u are cheap au?
Je ni kweli yuko serious kama anavyosema?
 
Mwanamke yoyote anaye nipa uchi wake kabla ya ndoa namuona ni cheaper tu :biggrin:
 
Its possible kuwa yuko serious. Wanaume mbalimbali wana njia mbalimbali za kupata mke. He is honest, I think.
 
Huyo HATAKI UZOMBIII USIO NA MPANGO! Alafu times zimechange, hakuna standards za kupima uaminifu. Ukimpa fasta fasta ANAKUONA CHEAP! Ukimnyima ANAKUONA MSHAMBA! unataka umfanye yeye Zombiii!
 
Unachezea watoto wa mjini, mambo ya kusubirishana mwaka fanyen shamba huko,, watu lazima wapime K hizo kama zina viwango au la maana mpaka mnafika age za kuolewa mmeshatoa sana mimba na mambo kibao,, so lazima wajanja wapime injini hizo..

Mambo ya uzombiii hakunaga kwa watoto wa town
 
Yaani nyang'au kama huyu ntamfungulia muziki wa matusi hata nisahau maisha yake yote,
 
ndio ujue hivyo umekutana na Nazjaz wa kiume
Natumai wote tu wazima,
Hii imemtokea rafiki yangu anayesaka ndoa kwa udi na uvumba,na akanisimulia jinsi alivyokutana na huyo mtu wake.baada ya kunielezea yote hayo nikaamua kuja kuwauliza na nyie mtoe mtizamo wenu juu ya hili.

hivi umekutana na mwanaume leo yani humfahamu na wala yeye hakufahamu ila ndiyo mnataka kujuana.siku ya kwanza mnaanza kuchat kwa simu mwanaume anaomba kufanya mapenzi na wewe ili ajue upo vipi huko chini na ajue kama aendelee na wewe au atafute mtu mwingine kama akikukuta hauko vile anavyotaka.

Swali langu ni kwamba je huyu mtu anakua amekuonaje,that u are cheap au?
Je ni kweli yuko serious kama anavyosema?
 
Last edited by a moderator:

Na magonjwa yote ya sasa kweli huyo mtu yuko serious? Mashaka makubwa, udhalilishaji mkubwa eti akuonje kwanza! Achana naye. tatizo wanawake mnajali sana kuolewa!
 
Usizini ni amri imewekwa na Muumba wa nchi na bahari a vyote vilivyomo.
Mwambie awe na msimamo tu we utaonjwa na wangapi?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
women inabidi muiache hii tabia ya kuona eti mwanaume anakuona cheap kama akikuomba K siku ya kwanza.
as a matter of fact ukweli ni kwamba amevutiwa na wewe ndio maana anaomba mzigo kama mwanaume hajavutiwa wala hawezi kukuomba mzigo so take it as a compliment and not insult.

alafu mkikataa kumegwa first day oh nataka tijuane...sasa mbona wapo wanajuana na mwisho ni ule ule kumegwa na kusepa. having or not havinh sex siku ya kwanza sio ushaidi tosha wa kiwa mtu yupo serious abt a relationship. so msijali wanawake nyie fungueni miguu tuu ata kama first day kama u feel the guy too.
 
Nina rafiki angu ana demu wake ambaye anambania sana kusex bas jamaa akaamua kutafuta wa pembeni wa kumaliza haja zake. Kipi bora hapo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom