Maumivu ya nafsi oooooh msaada plz

wanaume ndo zenu kutuharibia, huwa mnatuacha huku roho zinauma yawezekana huyo x wake roho inamuuma sana kuona uko na wewe, kelele za chura hazimzui tembo kunywa maji. kaza buti broo nyie endeleeni na mapenzi yenu wala usiwe na presha.
 
Nimeona niliweke hapa jf kwa watu wenye akili timamu na wanaojua kushauri watu kitaalam. Nimepata binti lakini nimetumiwa picha za x wake akiwa anamkandamiza. Hii kitu imeniumiza sana na mda si mrefu nimepokea msg ikisema nimemchoka so kaa nae tu. Nisaidieni ivi nifanyaje na nafsi ilikuwa imeshapenda na maumivu haya nitayatoaje?


Tatizo liko wapi? au kwa kuwa umeona picha? kwani hujui kama huyo binti alishakandamizwaga kabla yako? Au ni hiyo msg inakusumbua?

Cha maana hapo ni wewe kujihakikishia je, ni kweli unampenda kwa dhati? Umeridhika awe wako wa maisha au unapita tu? Simamia vile moyo wako umeamua kufanya; KELELE ZA CHURA HAZIZUII KUCHOTA MAJI
 
Mueleze aimanage hiyo situation, sababu msije mkafikia hatua ya ndoa alafu zinaanza kusambazwa, itawachafua, angalia pia usije ukawa unajihusisha na pornographic star.
 
kwa mimi binafsi nakushauri usimuache kisa umeona picha alizopiga akiwa"anaget busy na ex wake" coz hata ukiamua kutoka na msichana mwingine ukamuacha huyo as long as she is not a virgin ni lazima awe ameyafanya hayo mambo tofauti ni kwamba yeye hakupiga picha tu.

ushauri mwingine ni kwamba usipende kuyapa maneno ya nje nafasi kubwa kwenye mahusiano yako.yasikilize then uyaache hapo hapo wakati ukiendelea na uchunguzi wako.REMEMBER si kila mtu atafurahia mahusiano yako na mpenzio.
 
mapenz kama kiti cha bas ashukapo mtu mwingine anakaa! we kaa baba na ujilie vyako kwan picha zake za x we zakuhusu nn? kwan alikwambia yupo bikira! zamuyako jilie
 
Achana na huyo X naona bado ana maumivu ya kuachwa
kama ni mwanaume wa ukweli kwa nini anatapatapa kutuma picha na kudai amemchoka
wewe kazi buti atajinyonga mwenyewe wala usimuache ,,,,past past past
 
Hukumkuta bikra na hizo ni picha tu. Kitendo cha huyo jamaa kukutumia picha ni kutaka kukuudhi na kumharibia huyo binti. Kama kweli unampenda basi hizo picha zichane tu au zidelete kisha muendelee na penzi lenu. Nina hakika hatafurahia kuona bado mko pamoja.
kwahiyo unamaanisha ammege kwanza afu atafakari manake bikra haipimwi na bikari mpaka mambo flani ama
 
dah, hii ni ngumu 'kumesa' for an average man.... halafu inategemea na aina ya 'suluba' aliyokuwa akipatiwa pia.... kama alikuwa analiwa mtandao fulani, uvumilivu utahitaji nguvu ya ziada
 
he! we kumbe bado upo shule! inawezekana bado mdogo na huwenda hakuna future hapo! hivyo ningekushauri kama unaweza achana naye kwasababu mapenzi yako huenda yakajaa kisasi siku zijazo na ukamnyima raha mwenzio. bora upate maumivu ya leo kuliko ya baadaye ukiingia kwenye ndoa . ndoa sio mchezo bora ukosee kujenga msingi wa nyumba kuliko kukosea kuoa mke
 
mapendano ya siku hzi ni very unpredictable,nadhan upitie standards zako za wife(i believe in mahusiano ya muda mrefu sio voda faster) umtakae kama hakdh huyu wa sasa uma meno ufanye uamuzi wenye manufaa ya muda mrefu kwako na kwake pa kama inawezekana!
 
Huyo jamaa roho inamuuma na hajakomaa, picha kitu gani wewe endelea kukandamiza, tena mpe mastyle ya ukweli, achana na past ......
 
Wivu huyo jamaa,kama ingelikuwa bado hamtaki asinge kutumia hizo msg anataka umuache tu amchukue tena forget past kama huyo dada anakupenda na hujamuona na changes keep it up ,, don give up ,,
 
nimeona niliweke hapa jf kwa watu wenye akili timamu na wanaojua kushauri watu kitaalam. Nimepata binti lakini nimetumiwa picha za x wake akiwa anamkandamiza. Hii kitu imeniumiza sana na mda si mrefu nimepokea msg ikisema nimemchoka so kaa nae tu. Nisaidieni ivi nifanyaje na nafsi ilikuwa imeshapenda na maumivu haya nitayatoaje?

mi naona haina shida kama kweli anakupenda na unampenda, cha msingi ni mkumsoma tabia tu kama iko kama unavyotaka.
Mbaya kama ukimuoa kisha x-wake akarusha hizo picha kwenye mitandao ya kijamii... Itakua aibu kwako na kwa mpenzi wako.
 
aaa mbaba si umeambiwa picha zenyewe ni za kumkandamiza demu. inavyo onekana unapenda sana kuangalia vitengo
unataka upate za kupigia noniiino nn?
 
Nimeona niliweke hapa jf kwa watu wenye akili timamu na wanaojua kushauri watu kitaalam. Nimepata binti lakini nimetumiwa picha za x wake akiwa anamkandamiza. Hii kitu imeniumiza sana na mda si mrefu nimepokea msg ikisema nimemchoka so kaa nae tu. Nisaidieni ivi nifanyaje na nafsi ilikuwa imeshapenda na maumivu haya nitayatoaje?
sikia mbaba mkandamize na ww alafu mpige picha na video then mtumie kama anampenda ataacha hapohapo
kisha mpe ujumbe ufuatao
ukiona umependwa basi ujue kuna mjinga katemwa na ukiona umetemwa basi kuna mjanja kapendwa
 
Mabinti wanaopiga picha za hivyo mi nawachukulia kuwa wana upeo mdogo sana wa kufikiri. Sasa kama unapenda bila kujali IQ ya mtu endelea...haina uhusiano wowote na kuwa hajatuli kulinganisha na wasiopiga hizo picha ...ila HANA AKILI.
 
huyo x ni mfa maji tu haachi kutapatapa...aamekumbuka shuka kushakucha...inaonekana kabwagwa ndio maana kapagawa...achana naye we kula vyako kwa raha zako....asikuumize kichwa but hey, konsida feelings na msimamo wa huyo binti asije kuwa kigeugeu later, ukaishia kuumizwa zaidi...kila la kheri Inshaallah!
Nimeona niliweke hapa jf kwa watu wenye akili timamu na wanaojua kushauri watu kitaalam. Nimepata binti lakini nimetumiwa picha za x wake akiwa anamkandamiza. Hii kitu imeniumiza sana na mda si mrefu nimepokea msg ikisema nimemchoka so kaa nae tu. Nisaidieni ivi nifanyaje na nafsi ilikuwa imeshapenda na maumivu haya nitayatoaje?
 
Back
Top Bottom