Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
wanasema baby chop chop my money i don caaaaaare!Tatizo la hawa Warugaruga ni kujifanya mashujaa kunaaponza. Wanaingia mjini kwa pupa lazima wachunwe sana. Chezea weye!
wanasema baby chop chop my money i don caaaaaare!Tatizo la hawa Warugaruga ni kujifanya mashujaa kunaaponza. Wanaingia mjini kwa pupa lazima wachunwe sana. Chezea weye!
akuuu sipendi kuumiza mtu bahati mbaya huwa naumizwaHahahahaa, unaonekana na wewe ni mkali kwenye hayo mambo ehh? LOL!![]()
wanasema baby chop chop my money i don caaaaaare!
akuuu sipendi kuumiza mtu bahati mbaya huwa naumizwa
Mndengereko, wewe ni taxi dereva bana.
Halafu jamaa aliambiwa, 'dont worry honey, nimeita tax, will miss you mwaaah baby. Take care ok...?'.
Mndekereko bana, kusoma hujui hata kuangalia picha?
Hivi wandengereko hawana undugu na wakwere???
dah... lolest....ushauri wako unaendana sawasawa na ID yako!Alishakuambia ni rafiki yake, kwani vibaya kumuaga rafiki ww vipi ebu punguza jazba na hasira, ungemkuta anamegwa si ungejinyonga.Kaa na mwenza wako muulize kwa utaratibu atakumbia ukweli...utakosa mke.
swali: ulikuwa kwenye Coma kabla ya kuwa naye? kama jibu ni NDIYO kuendeleza uhusiano INAHUSU SANA. Kama hapana, mtu mzima anapewa kichwa cha habari tu, insha anaandika mwenyewe....habari za asubuhi wan jf,nilkuwa nampenzi wangu but so bad allikuwa na mwanaume mwingiine nikawa najua but akaniambia ni ex nw washaachana ila wanaendelea tu kuwasiliana kawaida but nothing is between them,nilimkanya aachane nae kbs hata mazungumzo hakusikia kwa kuwa nilikuwa nampenda nikawa siwezi kufanya uamuzi wowote na ukkaribu tuliokuwa nao,juzi amesafiri kwenda nje ya nchi kusoma akaniambia nimpitie mlimani city kwenda kumchukua then nimpeleke airport so bad kumbe kaenda kumuagga aliyokuwa mume mwenza nikatamani nimfuate nimchenjie yule mwanaume mwenzangu nikakumbukaa quote kwamba "mjanja hagombani kwa sababu ya demu" kama kaamua kufanya umalay basi nothing can stop her though nae ananipenda na hataki tuachane,basi nikapuuzia niakampeleka airport nikamtukana matusi kwa hasira achillia mabali hug hata mkono sikumpa kwa hasira nikasepa zangu from my heart nataka kuachana nae kabisa yaani simtaki kabisa katika mawzao yangu kama alishindwa kuwa mwaminifu dar itakuwa nje,sory kwa kuandika maeneo mengi but ni kwa ajili ya uchungu nw kila nikikaa nawaza siku niliyomuona na mume mwenza na nauimia sana tena sana plz nishaurini niini nifanye niweze kumsahau kbs huyu k****
thanx in advanvce
habari za asubuhi wan jf,nilkuwa nampenzi wangu but so bad allikuwa na mwanaume mwingiine nikawa najua but akaniambia ni ex nw washaachana ila wanaendelea tu kuwasiliana kawaida but nothing is between them,nilimkanya aachane nae kbs hata mazungumzo hakusikia kwa kuwa nilikuwa nampenda nikawa siwezi kufanya uamuzi wowote na ukkaribu tuliokuwa nao,juzi amesafiri kwenda nje ya nchi kusoma akaniambia nimpitie mlimani city kwenda kumchukua then nimpeleke airport so bad kumbe kaenda kumuagga aliyokuwa mume mwenza nikatamani nimfuate nimchenjie yule mwanaume mwenzangu nikakumbukaa quote kwamba "mjanja hagombani kwa sababu ya demu" kama kaamua kufanya umalay basi nothing can stop her though nae ananipenda na hataki tuachane,basi nikapuuzia niakampeleka airport nikamtukana matusi kwa hasira achillia mabali hug hata mkono sikumpa kwa hasira nikasepa zangu from my heart nataka kuachana nae kabisa yaani simtaki kabisa katika mawzao yangu kama alishindwa kuwa mwaminifu dar itakuwa nje,sory kwa kuandika maeneo mengi but ni kwa ajili ya uchungu nw kila nikikaa nawaza siku niliyomuona na mume mwenza na nauimia sana tena sana plz nishaurini niini nifanye niweze kumsahau kbs huyu k****
thanx in advanvce
Mkuu, kuwa makini hapo maana kuna mawili :-
- Labda ni kweli ni rafiki yake, sema tu wewe ndio hujiamini tu. Maana inawezekana wakawa na urafiki mzuri na wasiwe wapenzi tena kama zamani. Labda niulize, huyo mwanaume naye ana mtu? je, anakuchangamkia kama shemeji akikuona au hampatani? Kuwa makini usije ukawa unamuhukumu mtoto wa watu buree.
- Au la pili ni kuwa, anaweza akawa anakucheat kweli, kama huyo jamaa hana mtu wanaweza wakawa wana mambo yao. Na kama imefikia unamuita Girl wako "malaya" basi kuna kitu cha ziada unachokijua thats why umejiamini ukamuita hivyo
Just, kuwa makini kwenye uamuzi, fuata moyo wako unasema nini ukiwa na ushahidi na sio kumuhukumu kwa kuhisi.
How old are you?