Umri gani ni mzuri mtu kuoa ?

Umri gani ni mzuri mtu kuoa ?

Amechelewa sana kawaida mtu ukishabarehe unatakiwa kuoa!!
 
Sayansi Kimu darasa la Tatu.
Ilikuwa inafundisha kijana akibarehe ajitahidi sana kuepuka madeni yasiyo na lazima.

Kuhusu umri ni pale Vijana/Kijana anapoweza
kujitegemea vema kwa mkate wa kila siku
pasipo kutegemea labda wazazi/ndugu

Maana anaweza oa lkn anaishi nyumba ya kupanga sasa kama ni tegemezi anayemtegemea
akitetereka/kugombana ni wazi nae atayumba

Unajua kuna wengine mpaka 50 hajaoa wengine 20 anafamilia tayari hapo huwa zaidi inategemea
 
kama ana garantee ya kuishi miaka 120, hata akioa ana miaka 70 hakuna ubaya maana kufikia anakufa mwanae wa kwanza atakuwa na miaka 50 hivi, kama ana garantee ya miaka 40 je?Namaanisha kashachelewa tayari.
 
ndio umri aliooa mume wangu, na mpaka sasa Klein ni bro mwenzie na sio mtoto kwa jinsi walivyokuwa vijana. bifsi napenda sna akama mtu anajitambua basi aoe mapema na hii ni kama pia ana kazi na kipato. umri wa 25 ni mzuri zaid as mwanaume anaanza majukumu mapema na at 40 anakaa kuvuta raha na mkewe as ninavyokula raha kwa sasa aluuu!

Dada gfsonwin, shikamoo..

Nimetafakari nikaona huyu kaka (mdogo mtu) anayepewa ushauri at 32 na bado anauchukua hivyohivyo basi ni sahihi akangoja mpaka 40 hivi kwa sababu to me he looks IMMATURE aisee...unajua bana hata ukifika 20 na upo mature enough huwa huhitaji mtu akushauri yani watu wanakuona tu na wewe mwenyewe unakuwa na ile inner conviction unaoa bwana.

Tatizo la huhu mdogo mtu anafuata SOCIAL CYCLE/CIRCLE?? ndo maana anaona kama anachelewa...NDOA NI WITO!!!!!

- Kuna ambaye at 25 yupo mature enough to get married ila hajapata wa kumuoa

- Kuna mtu at 25 amempata wa kumuoa, yupo mature enough ila bado anajijenga

- kuna ambaye at 32 yupo vizuri kiuchumi but highly immature....
 
Last edited by a moderator:

ila kweli, kama ni bogus namna hii hadi anaomba ushauri wa ajabu kiasi hiki.
 
Dada gfsonwin, shikamoo..

Nimetafakari nikaona huyu kaka (mdogo mtu) anayepewa ushauri at 32 na bado anauchukua hivyohivyo basi ni sahihi akangoja mpaka 40 hivi kwa sababu to me he looks IMMATURE aisee...unajua bana hata ukifika 20 na upo mature enough huwa huhitaji mtu akushauri yani watu wanakuona tu na wewe mwenyewe unakuwa na ile inner conviction unaoa bwana.

Tatizo la huhu mdogo mtu anafuata SOCIAL CYCLE/CIRCLE?? ndo maana anaona kama anachelewa...NDOA NI WITO!!!!!

- Kuna ambaye at 25 yupo mature enough to get married ila hajapata wa kumuoa

- Kuna mtu at 25 amempata wa kumuoa, yupo mature enough ila bado anajijenga

- kuna ambaye at 32 yupo vizuri kiuchumi but highly immature....

Mentor unaoa lini?
 
Nimeoa nikiwa na miaka 18 sasa nadunda na wife tuna watoto 4 tumefunga tunakula mema ya nchi.
 
Miaka 32 bado unamshauri asubiri hadi miaka 40?. Wewe ni wa kuchapwa viboko. Hakuna sikuna mtu asiye na changamoto duniani hapa, njia pekee ni kupambana nazo. Kwanza kasha chelewa na wewe badala ya kumhimiza unasema asubiri hadi 40. kumbuka malezi ya watoto,ataya kabiri vipi uzeeni?.Ndugu ushauri wako zero kabisaaaaaaaaaaa:yo:
 
Natalia huyu mdogo wako unataka afuate katiba ya tanzania nini kugombea urais mpaka uwe na miaka 40 na kuendelea? Kama ameshapata aoe. Mimi 31 bado natafuta nikipata naoa leo leo pasipo kusubiri.
 
at 40 yrs kachelewa sana kuoa, life is too short nowdays ,
 
Sidhani kama ni ushauri mzuri huo,aisee miaka 40?ss watoto wake watamuitaje?baba au Babu?nadhan umri alionao nao ndio sahihi kuoa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kwa jinsi watu wanavyolalama kuhusu ndoa,nawashauri kizazi kipya waoane wakiwa na umri mkubwa zaidi,wanaume oeni mkiwa na miaka 45 hapo ni kwa uchache wanawake miaka 35.shida yenu mnaingia kwenye ndoa huku mkitaka kuleta ujana kwa hiyo malizeni ujana wenu weeeeeee mkichoka ndio muingie katika taasisi hii ambayo wenye kujiheshimu tunaifurahia sana
 
Mentor unaoa lini?

Bado nipo nipo sana..

Natalia huyu mdogo wako unataka afuate katiba ya tanzania nini kugombea urais mpaka uwe na miaka 40 na kuendelea? Kama ameshapata aoe. Mimi 31 bado natafuta nikipata naoa leo leo pasipo kusubiri.

Unasema?

kwa jinsi watu wanavyolalama kuhusu ndoa,nawashauri kizazi kipya waoane wakiwa na umri mkubwa zaidi,wanaume oeni mkiwa na miaka 45 hapo ni kwa uchache wanawake miaka 35.shida yenu mnaingia kwenye ndoa huku mkitaka kuleta ujana kwa hiyo malizeni ujana wenu weeeeeee mkichoka ndio muingie katika taasisi hii ambayo wenye kujiheshimu tunaifurahia sana

Mentor Utaoa lini?
 
Mdogo wangu anamiaka 32 anataka kuoa nimemwambia asubiri mpaka miaka 40 .kwa sababu miaka40 mwanaume ndio anajua anataka nini na hapo mara nyingi waliooa mapema wanafile for divorce na miaka 40 mtu ndio maisha yake yametulia.Nimekosea au ?i'm scared to death mdogo wangu Asije akaharibu maisha yake .He is doing well na nimemshauri aendelee kudate wanawake tofauti ili awe na uamuzi mzuri .

Kuoa si kulazimisha. Kuhusu umri kama kijana umekuwa stable kiuchumi kiasi ukaweza kulisha familia(maana hili ni jukumu la kwanza kabisa) basi unaweza kuoa. Nakadiria 27-32. Ukifika 35+ unakuwa unakula life tu na mke na watoto ambao watakuwa wamekuwa wakubwa kiasi
 
Mdogo wangu anamiaka 32 anataka kuoa nimemwambia asubiri mpaka miaka 40 .kwa sababu miaka40 mwanaume ndio anajua anataka nini na hapo mara nyingi waliooa mapema wanafile for divorce na miaka 40 mtu ndio maisha yake yametulia.Nimekosea au ?i'm scared to death mdogo wangu Asije akaharibu maisha yake .He is doing well na nimemshauri aendelee kudate wanawake tofauti ili awe na uamuzi mzuri .

utamuua mdogo wako mapema sana halafu unataka watoto uwalee ww au yy mwenyewe? kwa sbb atakapozaa na miaka 40 na lifw span ni miaka 45-50. inamaana hatawalea watoto wake so watabaki chokoraa tu bila kuwafikisha mahali pazuri. think twice.
 
you are not serious.............40yrs halafu akikosa mtoto miaka hiyo aseme karogwa au nini.
umri wa kuoa unategemea na mtu mwenyewe kama yuko tayari kifikra,kimwili na kifedha.kama anavyo vyote what is he waiting for,magonjwa?
 
Najuwa natalia wewe utakuwa mke maana wengi wenu ndiyo wenye mawazo hayo hasa ukikuta umeishatendwa!Je wewe umeolewa na miaka mingapi? Maana isije ikawa mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu?Kama na wewe bado hujaolewa na umri wako ni abave 32 yrs maana umesema mdogo wako ana 32 yrs basi uandike maumivu maana probability ya kuolewa ni poison (yaani ni ndogo sana).Hivyo usimdanganye mwenzako kwa umri huo anapaswa kuwa kwenye ndoa tayari unataka aje kulea wajukuu?

Nimeolewa nikiwa na miaka 25.Wanawake wa siku hizi Noma sitaki wamsumbue kaka yangu .saa hizi anawanawake 5 .hajatulia juzi anataka kuoa mchina basi tu aendeleze mambo ya mademu.Hakuna kuoa
 
you are not serious.............40yrs halafu akikosa mtoto miaka hiyo aseme karogwa au nini.
umri wa kuoa unategemea na mtu mwenyewe kama yuko tayari kifikra,kimwili na kifedha.kama anavyo vyote what is he waiting for,magonjwa?

Kwa maana bongo watu wenye ndoa hawapati gonjwa
 
utamuua mdogo wako mapema sana halafu unataka watoto uwalee ww au yy mwenyewe? kwa sbb atakapozaa na miaka 40 na lifw span ni miaka 45-50. inamaana hatawalea watoto wake so watabaki chokoraa tu bila kuwafikisha mahali pazuri. think twice.
Life span 70 USA .alizaliwa USA bongo anakuja kusalimia tu hata Kiswahili hajui vizuri
 
Umri mzuri ni miaka 25-30, na kigezo kikubwa ni kama anakipato cha kuweza kuitunza familia yake sio anaoa wazazi ndio wanahudumia mke na mume na watoto. Sidhani kama mke anatafutwa kwa kujaribu jaribu mahusiano na wanawake tofautitofauti. Miaka 40 atakua amechelewa sana let say amezaa akiwa na 45 itakuaje maana sio lazima ukioa tu unapata mtoto wengine haitokei hivyo. Mwambie zinaa mbaya na ni dhambi amuombe Mungu apate mke mwema amani ktkt ndoa mara zote ni neema ya Mungu tu. Wengine wameoana wakubwa sana lkn no peace , na wengine wameoana mapema wana peace. So marriege yenye peace ni kumuomba Mungu tu haina formula.
Hivi kwa nini watu mnapotea sana?, sababu ya kuzeeka mapema sio sababu, yupi bora, ambaye hajazeeka na hana uwezo wa kusomesha watoto au aliyezeeka lakini ana miradi ya kutoshana watoto hawana shida?, is the main purpose of marriege kids only, kabla mtu hajaoa au kuoelewa bora akajiuliza ni nini anatafuta kwenye hiyo ndoa, am 30, i have never thought of marriege.
 
Back
Top Bottom