Ni kweli mkuu wachezaji ni kama wafanyakazi wanaweza toka kampuni moja na kwenda nyingine ila na wao wawe wanakumbula fadhila mtu kama van pasi hakuwa na sababu ya kuondo wenga kamvumilia sana na majeruhi anakaa misim miwali ana cheza mechi tatu anaumia msim mzima alivyo pona akatimka na mfano...
Maumivu ya kichwa huanza pole pole na maumivu c mzaha na matibabu yake lazima yawe ya haraka leo wameanza na super market kesho watasema kimara marufuku kupita kwa kuwa wamenunua wao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.