Watumiaji wa voda, mnaweza kutumia site za Google leo?

Watumiaji wa voda, mnaweza kutumia site za Google leo?

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,701
Reaction score
2,613
Mimi naona sipati Google search, Youtube wala playstore leo. Site zengine zote hazina tatizo.
 
Kwangu nilipo sipati H/H+ Internet speed ingawa napata 3g lakini speed yake kama edge tu
 
Mimi naona sipati Google search, Youtube wala playstore leo. Site zengine zote hazina tatizo.

Toka Kama Ucku, Voda inasumbua. lkn ndo mtandao saaafi kwa watumiaj wa intanet, mm mwnywe hapa nimeamua kutumia airtel
 
Hata mimi google search haikubali kwenye simu browser zote
Youtube app ina stream vizuri
 
Toka Kama Ucku, Voda inasumbua. lkn ndo mtandao saaafi kwa watumiaj wa intanet, mm mwnywe hapa nimeamua kutumia airtel

Mkuu voda ni wezi kupita kiasi juzi nimeweka ka 1000 kangu ninezima data asubuhi naangalia salio nakuta 744 ni wizi wa kimacho macho kbsa
 
Mimi napata zote google search, youtube etc,, hata hivyo ni kweli leo tangu asubuhi mtandao wa voda uko chini sana "E",,
 
Hii kitu nime ona kwenye voda nina line mbili za voda moja ilikuwa na 2gb za kuperuzi nyingine ilikuwa na 60mb za kuperuzi chakushangaza line yenye 2gb net ilikuwa very slow kupita maelezo. Lkn yenye 60mb ilikuwa ukigusa tu tayari.
Yani nilikata na tamaa.
 
google search na gmail zimekataa kabisaaa..
 
Back
Top Bottom