Hivi jamani kwanini wanawake hamna mapenzi ya kweli?

yaani kuflirt na wanaume wengine ndio kisa cha kumuacha?
mie hata nikiolewa sitaacha kuflirt,unless umenikuta kitandani na mtu tunafanya mapenzi ndio nitakuelewa ukisema unaniacha sio upuuzi wa kusoma messages...............................

unahack vipi account facebook embu nifundishe nataka kuhack account ya mtu lol,am serious lol

Jestina:we acha tu mapenzi yanauma hata kwa kukonyeza tu nini maandishi uyakute anachati na mtu mwingine kwa mwanzo wa 2 ni 1
 
Ukitaka kuachana na mpenzio/mumeo we anza kupekenyua simu na sijui e-mail na madudu gani sijui. Wengi wanaofanyaga hivyo huwa wameshachoka kuishi na wapenzi wao na hivyo wanatafuta chanzo cha kulianzisha ili kieleweke. N kweli ndugu umekipata ulichokuwa ukikitafuta.

Kula like yangu mkuu! Ukitaka kuachana na mtu unaanza kufokonyoa sms,emails na ujinga wake wote. Sasa ye mwenzetu nadhan amemchoka bibie!
 
Jamani wana JF nimekuja hapa kwenu kuwaeleza hili swala na pia kuomba ushauri wenu kutokana na hili sakata lililonikuta la kusalitiwa na mpenzi wangu.

Jana usiku wakati nikiwa nafanya kazi zangu mbali mbali niliamua kuingia katika mtandao wa facebook na kuhack account ya facebook ya mpenzi wangu ili kujua kama kweli ananipenda au napoteza mda wangu tu kumpenda mtu ambaye hapendeki. Niliamua kufanya hivyo baada ya kudanganywa password ya e-mail yake kipindi cha nyuma kwa kisingizio eti aliogopa kunipa e-mail yake kwa sababu eti aliwahi kumpa mpenzi wake wa nyuma e-mail yake na matokeo yake mpenzi wake akawa anaitumia e-mail yake kwa kumtuhumu makosa ambayo hajayatenda kwa hiyo aliogopa pengine na mimi ningemfanyia hivyo. Kwa jinsi nilivyompenda niliamua kumsamehe na kuendelea na uhusiano wetu kama kawaida.

Sasa baada ya kufanikiwa kuhack katika account yake ya facebook nilianza moja kwa moja kwa kukagua profile yake, kutizama picha zake na mwishoni niliingia katika inbox yake na kuanza kusoma message zake. Jamani message nilizozikuta huko sitaki hata kusema. I wish kama ningekuwa na uwezo ningewawekea hapa ili na nyinyi mzione. Nilipomueleza na kumtaka aniambie ni kwa nini ameamu kunifanyia hivyo na kuamua kunisaliti na wanaume wengine tena wa facebook akanijibu na kuniambia kuwa eti alifanya vile kwa sababu eti wanaume wote wapo kuumiza tu ila hakumaanisha kila alichokuwa anasema katika message za facebook pia akaniambia kuwa japo aliumizwa ila alipokutana na mimi alinipa moyo wake wote cuz alinipenda sana na aliamini kuwa niko tofauti na wanaume wengine ila kiukweli hana mwanaume mwingine zaidi yangu.

Kitu kingine nilichogundua ni kuwa huyo mpenzi wangu ana e-mail address ila mimi aliniambia e-mail address yake mmoja tu. Mimi nilihisi kuwa anazo mbili na baada ya kugundua hivyo nilimuuliza kuwa e-mail address ........ ni ya kwako??? akaniambia hapana na ya kwake ni hiyo aliyonipa kumbe hiyo e-mail ambayo alinificha ndiyo hiyo ambayo anaitumia facebook. Sasa leo baada ya kugundua hilo nilipomuuliza kwa nini alinidanganya kipindi kile alikana kabisa kuwa hakusema hivyo.

Kwa jinsi nilivyo kasirika na kuumia moyoni nimeamua kuchana naye ingawa kiukweli nilimpenda sana msichana huyu, nilimpa kitu kitu alichohitaji, nilimpa mapenzi yangu yote, nilimpa hata vile visivyohadithika lakini bado mtoto wa kike haonyeshi kuridhika kila mwanaume anataka awe wake. kama nilivyosema hapo mimi nimeamua kuchana na nimeshamtakia wazi ila yeye bado ananiomba msamaha anasema eti hawezi kuishi bila mimi. Nifanyeje jamani?

tupe mrejesho chief ndoa ilifungika?
 
no one can go back and change his past kama umempenda kweli sijui fb sijui twitter unafukunyua vya nini sasa .
 
Neno la Mungu linasema "Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana, huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia; na aliye dhalimu katika lililo dogo, huwa dhalimu katika lililo kubwa pia." Kama huyu mpenzi wangu ameshindwa kuwa mwaminifu huko fb na kulinda penzi letu unadhani ataweza kuwa mwaminifu kwenye ndoa hapo baadae? Waswahili wanasema nyota njema huonekana asubuhi na kutokana na haya aliyoyafanya huyu msichana ni dhahiri kuwa si mwaminifu hivyo kung'ang'ania kufunga naye ndoa eti kwa sababu unampenda ni sawa kujikaanga mwenyewe na mafuta.
 
kwani inamaana wewe kabla hujawa nae si ulikuwa na mtu mwingine, just let the bygones muanze chapter mpya bana forget about yesterday it has already forgotten you
 
Hii inanikumbusha Ex Fiancé wangu .. Sikuwahi hata siku moja kufuatilia device yake until siku nilipogundua amenidanganya wakati there was no a reason or a point to do so... Hapo ndipo nikaanza Ku think something was fishing its just my Spirit was too heavy to take inn.. . But I didn't hack His account only I had to do was to submitted everything unto God .. By Fasts And Prayers.. Kwani ilichukua muda no dear .. God showed me , so many things I couldn't even imagine .. That's why I can't live without God .. Take everything away from me but leave Jesus for me oooh please. So dear mshukuru Mungu kwa kila jambo seek His Face and Kingdoms and everything else shall add unto You.. Remember this matter haitokei kwenu tuu nyinyi men Bali hata women pia wanapitia but we just don't say it kwa maana tumeumbwa na mioyo ya subira , uvumilivu na huruma. Funga na Maombi to get the right paths for your Destiny . Mtegemee Mungu naye atakupa your heart Desire .. amen. Good luck . Thanks..

Thanks dear kwa ushauri wako... Nitaufanyia kazi.
 
kwani inamaana wewe kabla hujawa nae si ulikuwa na mtu mwingine, just let the bygones muanze chapter mpya bana forget about yesterday it has already forgotten you

Laiti angelikuwa amefanya hilo kosa mara moja, akajutia na kubadilika pengine ningeweza kukubaliana na ushauri wako lakini amefanya hivyo mara kadhaa na kila wakati anapofanya anaomba msamaha na kusema atabadilika lakini baada ya siku chache anarudi kule kule.
 
mmh kwaheri , ila zidi kumuombea huenda akabadilika if you give up on your love you will get non haha i,m kidding
 
Well, hapo ndipo unapokosea. God knows whats best for everyone, wewe unaweza kumuomba Mungu kitu flani kwa ufahamu wako ukidhani hicho kitu ndio kinakufaa lakini Mungu ambaye anajua kila kitu yeye anajua kama hicho kitu kinakufaa au la ndo matokeo yake wengine tunajikuta tukiomba hatupati majibu kumbe ni kwa sababu tumekosea kuomba.

Hivyo mimi nitamuomba Mungu anijalie mchumba mwema ila sitamuomba Mungu huyu niliyenaye ndio awe mchumba wangu kwa sababu God knows whats best for everyone so kama Mungu hajapenda niwe na huyu basi atanipa ambaye yeye anaona ananifaa.
 
well said
 
presha zote hzo umejitaftia mwenyewe....kwaku pekuwa...!!! mm skert ikinipa burudani & huduma zote nitakazo sioni haja yaku mchimbua sana maana mwisho wa siku tajikuta nisha mdunga sindano ya sumu.
 
Neno la Mungu linasema "Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana, huwa mwaminifu katika lililo kubwa pia; na aliye dhalimu katika lililo dogo, huwa dhalimu katika lililo kubwa pia." Kama huyu mpenzi wangu ameshindwa kuwa mwaminifu huko fb na kulinda penzi letu unadhani ataweza kuwa mwaminifu kwenye ndoa hapo baadae? Waswahili wanasema nyota njema huonekana asubuhi na kutokana na haya aliyoyafanya huyu msichana ni dhahiri kuwa si mwaminifu hivyo kung'ang'ania kufunga naye ndoa eti kwa sababu unampenda ni sawa kujikaanga mwenyewe na mafuta.

Umeshaoa ama ndio unakaribia?
 
Pole sana kwa sakata lililokukumba ukikubali kupenda kubali kuumia pia hiki ndo kitu kikubwa kinachotushinda watu wengi mara nyingi. Sasa hivi mapenzi yamekuwa magumu sana kwa sababu watu wanaumizana sana no trust mtu anakwambia tu anakuamini lakini wapi sio girl wala boy. Mvulana hataki kuamini yuko peke yake na msichana hataki kuamini yuko peke yake hapa ndo unakuta mtu anajishika na matawi mawili ili likikatika moja basi analo la kujishika ingawaje kuna upande unakuta kapenda kuliko haya ndo mapenzi ya sasa mpaka pale mtu anapomvisha mtu pete then ndo anaamua kuvunja upande mmoja lakini bado uwezekano wa kutoka nje ya ndoa ni mkubwa coz alisha practice. Ndo mana now watu wanumizana sana ukikutana na msichana lazima ana kovu so anakuwa mwoga wa mapenzi.

So mkubwa inaonyesha kabisa hukumwamini huyo mpenzi wako toka ukutane nae ndo maana ukaamua kuchunguza na kusoma email na message za fb. Trust mtu wako usiruhusu mawazo ya kudanganywa mpende mpaka ajisikie vibaya kufanya chochote. Nakushauri urudiane nampenzi wako ila akueleze ukweli kuhusu hizo sms. coz unakokwenda unaweza hukujui.
 
msamehe mrudie ila ish nae kwa makin, umfuatilie ujue ukweli kamile kuhusu yote, then kama 100% utagundua ana hatia achana nae
 
Back
Top Bottom