Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,366
- 3,561
Alitake naniiii babu we. Xtrail ukishanunua haliuziki lako mwenyeweee.
Fugia kware bro.:becky:
una maneno mdada. Duh! Mume wako anashida sana
Alitake naniiii babu we. Xtrail ukishanunua haliuziki lako mwenyeweee.
Fugia kware bro.:becky:
Bra a ninong'oneze shughuli uliofanyia.
Manake ushalifanyia hiyo shughuli sasa unakimbia nchi.:becky:
Teh teh yeah Ni gari nzuri broTeh teh teh.
Umenogesha jukwaa. By the way Mark II imetulia sana
Ana raha.una maneno mdada. Duh! Mume wako anashida sana
Alitake naniiii babu we. Xtrail ukishanunua haliuziki lako mwenyeweee.
Fugia kware bro.:becky:
Habari wana JF,
Ninauza gari yangu Toyota mark II
mwaka 2003
Namba T 738 CLQ
KM 101000
Gari ipo katika hali nzuri sana nimeagiza mwenyewe toka japan kwajili ya shughuli zangu na sasa nimemaliza shughuli zangu za hapa nchini hivyo nasafiri nje sasa nimeamua kuuza kwakuwa sihitaji tena. Kwa wateja walio serious bei ni milioni tisa na laki tano 9,500,000. Napatikana hapa Dar es salaam.
Asanteni
Hivyo Avatar yako ina uhusiano wowote na hizo shughuli zako 'binafsi' ulizokuwa unafanya na sasa umemaliza unaondoka nchini? Swali la pili bwana bosi kwanini uliagiza gari mpya kabisa kwa shughuli ndogo 'binafsi' ambayo ulijua ukomo wake hauko mbali? Hayo tu boss!
Sio conspiracy theories bro na of course you are not bound to my thoughts. Ila xtrail na harrier old model ukishanunua jua in LA kwako.kaazi kwelikweli na conspiracy theories za kibongo!
Sio conspiracy theories bro na of course you are not bound to my thoughts. Ila xtrail na harrier old model ukishanunua jua in LA kwako.
Labda umpate asiejua gari anae enda na drift kisa yamejaa mjini na yana body nzuri.
HALIKULI LIKAKWISHA...Duh umolewa na zimwi teheteheAna raha.
Zimwi likujualo??
Mi hapa ndo zimwi so simmaliziHALIKULI LIKAKWISHA...Duh umolewa na zimwi tehetehe
Sio conspiracy theories bro na of course you are not bound to my thoughts. Ila xtrail na harrier old model ukishanunua jua in LA kwako.
Hahahaa, nakuhakikishia kwamba MNADANGANYANA, kama una xtrail au harrier old model umekwama nayo sema tukuletee pesa. Hizo kila siku tunaziuza kama kawaida, last week nimeuza harrier old model number B, 12M CASH! Mtaani watu huwa wanadanganyana sana, gari A ina matatizo sana...kimeo sijuwi nini na nini, kumbe vimeo ni mafundi wa mitaani wasiotaka kwenda shule! Gari imetoka Japan inachapa kazi miaka kumi na kitu haina shida, ifike Tandale tu iwe na matatizo bado huoni tatizo lilipo?!!!
Maneno ya vijiweni tabu tupu kaka, mtu akiona jirani yake gari fulani "inamsumbua" basi gari hiyo ishageuzwa kimeo!Well said chief
we we umetumia reference gain kama sio kuni misquote?Kwani sista kwa haya maelezo yako una uhakika jamaa anauza hizo gari 2 ulizozitaja?.