Aisee! Kumbe Dar kuna matajiri mashoga

Aisee! Kumbe Dar kuna matajiri mashoga

Koma kabisa, una dhani kwanini hawachagui?Sababu kubwa ni kwamba hawana choice, huwezi tongoza yoyote na ukitongoza yoyote humpati yyule wa choice yako, matokeo yake una lala na yoyote mradi kupunguza nyege. Lakini ingekua ni rahisi isingekua ku lala na yoyote.

Wewe choice yako ipi, yaani unapenda wanaume wa aina gani.
Hivi mnapata nyege kama wanavyopata wanawake?
 
Yaani umekutana na mtu hamjuani theni anakupa nauli ya boda boda unapokea. Then unapigiwa sim uende kazini kwake na unakwenda? Ulitegemea atakupa nini tena? Hapo jibu lilikua wazi ukampe u akakupe? Dalili zote Alikuonyesha toka mwanzo

Mkuuu unaezakana kijana aliombwa mzigo ty maana haiwezkani MTU humjui anakupa lift na pesa ya bodaboda juu
 
Yaani umekutana na mtu hamjuani theni anakupa nauli ya boda boda unapokea. Then unapigiwa sim uende kazini kwake na unakwenda? Ulitegemea atakupa nini tena? Hapo jibu lilikua wazi ukampe u akakupe? Dalili zote Alikuonyesha toka mwanzo


Muongo huyo , hapo ni viwili, katenda halafu kaja kuhumu kutupa story kwa advature aliyo fanya yeye na rafiki yake kinamna nyingine au kahadithiwa hii story na kaja kutu funga kamba humu.Hawezi dandia magari ya watu kama hayuko teari kwa lolote na hana ubavu wa kukataa pesa huyu.
 
siku hz gay huwezi kuwajua maana wengine ni waume za watu wameoa na wanawatoto lakini kumbe sio riziki

Hivi inakuwaje mpaka net work inakuwa juu kwa mwanaumemwenzio nini hasa kinacho kusisimua kwa lidume?
 
Huyu atakuwa ye ndoaligongwa kinguvu ndo maana akapewa laki 5 na alipoikataa jamaa akaona sio vzr bora ampooze hata kwa laki mbili na 20,poole ndugu kwakuliwa 0713
 
mkiomba wanawake tigo ni sawa, mkipewa ya wanaume wenzenu mnalialia,

sasa hivi ukiona mmeo au boyfriend wako ana rafiki wa karibu saaaana " ukiona manyoya....
kaliwa

nlisomaga na best yangu mmoja chuo, mme wake ana rafikiye kipenzi (anashona viatu) but cha ajabu huyo rafiki anakujaga kulala kwa huyo shemeji yangu siku ambazo tuko chuo na wanaishi jirani tu anaacha mkewe nyumbani nkasema hapa...
 
Habari wakuu.!
Juzi tulikua ofisi flani hivi ya TRA tunafatilia leseni zetu za gari, sasa tukiwa tunaelekea stand, ikaja V8 moja kali kuna jamaa mmoja hivi wa makamo,akasimama akatusalimia tukaitikia then akatuulza kwamba ""tunakifahamu kiwanda cha chemi cotex?"" tukamuuliza kile cha maeneo ya makonde, akasema ndio, sasa kwa vile na sisi ni wenyeji wa maeneo hayo na tulikua tunapita njia hiyo hiyo tukasema tuende nae, tukakwea, tulipofika maeneo yale akasema kuna hela nalipa kwa mkurugenzi wa kiwanda ili anipelekee products zake k/koo akalipa then tukaamsha jamaa alikua anatupigisha story kama kawa anasema yeye anapenda sana vjana wachapa kazi, tulipofika maeneo ya mbuyuni tukamwambia "bro sisi tunaishi salasala kama vp tushushe hapa" akasema poa,sasa mda tunataka kushuka akachukua simu yangu akasema ngoja niwaandikie namba yangu ili siku nyingine tunaweza kufanya hata biashara tukasema poa halafu akatupa hela ya boda boda elfu 40 sasa jana akanipigia simu anasema njooni ofisin kwangu, nikamuuliza kuna nn brother, akasema natafta vijana wa kazi afu mje na vyeti vyenu, nikamwambia kwamba mimi ndo kwanza nimemaliza form six juzi sina cheti, akasema hata leaving njoo nayo, nikamshitua mshikaj wangu tukaenda, tulipofika tukaingia ofisin kwake tukaa, sasa cha kushangaza tulimkuta yupo kifua wazi na kibukuta akainuka akaja akaanza kufungua zipu yangu, nikamsukuma, akaniambia nitawapa laki tano kila mtu, nataka mnifire,! Shit, nikamwambia siku nyingine, tukawa tumeondoka nilipofka home nikampigia simu nikamwambia huo ushenzi siwezi kufanya,. Kukaa kidogo akatuma laki mbili na 20 tigo pesa, nikamwambia sihitaji pesa kwa ujinga huo. Sasa leo nimebadilisha namba kwaajili ya huyu jamaa. Sasa mimi bado najiuliza inakuaje mtu mpk anakuwa shoga jaman maana kwa jinsi jamaa alivyo he looks like a real man kumbe ni gay, aise nawasihi vijana wenzangu tusishawishike kufanya upuuzi kama huo kwasababu tu ya hela, tulizike na vidogo tulivyo navyo.!

Mtanisamehe kwa thread ndefu.



kwani ungembandua tu kisha utambae zako ungepungukiwa na nini wewe kijana? nyie mbona hamjui kutumia fursa? halafu ni kwanini bahati hizi huwa hazitutokei tunaojua kutumia wasaa kikamilifu? kweli nimeamini ktk miti mingi hakuna wajenzi. siku nyingine ukiona umefanya " ungumbaru " wako wa aina hii usije ukatuhadithia sisi humu? binafsi umeniudhi na umenikera sana. hivi wewe ni mwanaume kweli? madume wenzenu kuwala tigo hamuwezi lakini mademu zenu mnawachana marinda huu kama si unafiki ni nini?
 
kwani ungembandua tu kisha utambae zako ungepungukiwa na nini wewe kijana? nyie mbona hamjui kutumia fursa? halafu ni kwanini bahati hizi huwa hazitutokei tunaojua kutumia wasaa kikamilifu? kweli nimeamini ktk miti mingi hakuna wajenzi. siku nyingine ukiona umefanya " ungumbaru " wako wa aina hii usije ukatuhadithia sisi humu? binafsi umeniudhi na umenikera sana. hivi wewe ni mwanaume kweli? madume wenzenu kuwala tigo hamuwezi lakini mademu zenu mnawachana marinda huu kama si unafiki ni nini?


Hayo yote huwatokea wenzako kama wana lipa, mtu hatoi pesa yake kwajili ya kila mshuma, wengine mna mbilimbi, mtu ana taka dodoki na uwe na body ya kuelewek sio unakitambi na mnene nani atattaka pesa yake iende bure, huyo mshamba labda na vutia ndio maana bahati ikampata.Wewe anjza gym labdautaweza bahatika bila hivyo wenzako watakurusha roho nafasi wana sipata na hawazitumii wanakuja toa tory humu . pole
 
Hawa jamaa (mashoga) wapo wengi sana. Walio wengi wanajiweza na wakikomaa na wewe utajuta.. sasa jiulize wanazondomolewa na nani wakati hapa JF kila mtu anaruka. Maana ake kuna vidume wa kufukua choo lakini hawezi sema kama yeye anafukua choo. kwani wangapi wanapiga ule mtandao pendwa kwa dada zetu na kuwaharibu? ni hao hao wanaopiga hawaa jamaa. so mashoga wapo na wala ndogo wapo pia ila wanajificha.
 
Pole mtoa maada.hata mm jambo hilo lilinitokea pande za moro.kuna jamaa ukimuangalia yuko nadhifu yaani anajiweza basi akaniaproach nikamjibu kistaarabu tu kuwa hayo mambo kwa mimi sio saizi yangu.lakini jamaa hakukata tamaa wiki moja baadae nikakutana nae town moro akaniomba namba ya simu nikampa akanipigia akanibembeleza sana nikampromise bdae lakini sikutokea katika ahadi.nikamreject kabisa kwenye simu yangu.from that day akawa akiniona town ananiangalia tu.na kila nikienda mjini lazima nimuone lakini simsemeshi.
 
Muongo huyo , hapo ni viwili, katenda halafu kaja kuhumu kutupa story kwa advature aliyo fanya yeye na rafiki yake kinamna nyingine au kahadithiwa hii story na kaja kutu funga kamba humu.Hawezi dandia magari ya watu kama hayuko teari kwa lolote na hana ubavu wa kukataa pesa huyu.

sitaki uni PM kama ww ni mwanaume lalamika hapa.
 
huyu anajulikana humu alivyo, we ongea nae tu kiupole!! Ataelewa.

kumbe ndo alivyo mkuu? Me nilikua simfahamu vzr maana anaongea pumba kinoma, eti mara ooh "me wakishua sina nia ya kukutongoza, washua tunajulikana tunakaa sehem kama mbezi beach, obay,masaki," sa kwa hali hii huyu mtu si ni shoga jaman,! Aaaah lkn kama ndo tabia yake bas hanisumbui mkuu, shukrani kwa kunitaarifu.
 
siku hz gay huwezi kuwajua maana wengine ni waume za watu wameoa na wanawatoto lakini kumbe sio riziki

Roho inalipuka kusikia hivi, siku zote nalia kwa Mungu kuhusu wadogo zetu na kaka zetu. Huwa napata hadi kichefuchefu kusikia masuala ya gays.
Godforbid!
 
Back
Top Bottom