Recent content by intermediate

  1. intermediate

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anaweza akapata nafasi ya shule za vipaji maalumu?

    Hawezi kupata hizo shule
  2. intermediate

    JamiiForums Tanzania ID's kongwe JamiForums ndo habari ya mjini!!

    Umesema za kwanzia mwaka gani nije nazo zote hapa
  3. intermediate

    JamiiForums Tanzania Nakaribia kuhitimu chuo ila sijui kuhusu chochote nilichosomea

    Yani usiwaze kaabisa kitu cha kawaida hiko mko wengi sana mambo yatajiset mbele kwa mbele
  4. intermediate

    JamiiForums Tanzania Champions League last 16: Real Madrid kuivaa PSG; Chelsea kukipiga na Barcelona

    Barca toka 96 mpk 2005 anampiga chelsea 2005 chelsea kaanza kumsumbua kampiga Mara 3 tu na kuwekwa na draw.. Sasa game moja inafanyutoe hayo maamuzi auu halaf barca hakufungwa now camp alidraw . Chelsea anamsumbua tu barca ..barca anamuacha chelsea ..dawati la ubishi sikai
  5. intermediate

    JamiiForums Tanzania Champions League last 16: Real Madrid kuivaa PSG; Chelsea kukipiga na Barcelona

    Chelsea hawezi kumtoa barca, wakati wote huwa ni anamsumbua tu na barca kupata ushindi hafifu sana ..lakini haitotokea chelsea amtoe barca. PSG anatolewa na R. Madrid
  6. intermediate

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili ya mwanamke ushawishi wako tu

    Huyo huyo mama aliaminiwa na Baba lakini kumbuka.
  7. intermediate

    JamiiForums Tanzania Nguvu Iliyotumika kumtoa shabiki wa Rooney itumike Kibiti

    tena front line,,shame WEWE UNAAKILI KWELI? POLISI WANAFANYAKAZI NZURI YA KUPAMBANA NA WALE WAHALIFU, ACHENI KUSHABIKIA WAHALIFU, ASKARI WETU SONGA MBELE MSISIKILIZE MANENO YA KIJINGA YA BAADHI YA WATU, TUNAAMINI MUDA SI MREFU MAJAMBAZI YOTE MTAYAANGAMIZA.
  8. intermediate

    JamiiForums Tanzania Nguvu Iliyotumika kumtoa shabiki wa Rooney itumike Kibiti

    Hain Haina maaana yoyote, unaweza ukavunja mguu bure, kisa kwenda kumkumbatia star!! watanzania tujitambue hata kidogo tu,
  9. intermediate

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimekuta 'urine pregnancy test' kwenye kimkoba cha binti yangu

    SI LUGHA NZURI KUSEMA HIVYO, SAHIHISHA KAULI YAKO, LEO KWA YULE KESHO NI KWAKO,
  10. intermediate

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimekuta 'urine pregnancy test' kwenye kimkoba cha binti yangu

    Hujui hayo unayoyaongea kama ungekuwa mzazi usingesema hivyo, wazazi tuna wajibu wa kuangalia kuna nini ambacho si cha kawaida kipo kwenye mifuko ya watoto wetu, hivyo hakufanya kosa kuangalia kwenye mfuko wa binti yake.
  11. intermediate

    JamiiForums Tanzania Mauaji Kibiti: Mkazi wa Nyambwanda, Hamis Ndikanye auawa kwa risasi

    UNAJUA UNACHOKIONGEA? ASKARI WETU MUNGU WETU AWAPE UJASIRI HADI KUNDI LOTE LA HAO WAUWAJI LIMETOKOMEA.
  12. intermediate

    JamiiForums Tanzania Tabia gani ulishindwa kuacha ukiwa shuleni?

    MJ ? Majengo?? wanafunzi wa hapo ni vichaa mpk walimu
  13. intermediate

    JamiiForums Tanzania WanaHipHop wote tukutane hapa Fid q Vs Nash Emcee (2)

    Nash ni mpuuzi kuna siku nikaskia anasema Nash EMCEE Uandishi kama wa shaban robert nikasema huyu mpuuzi hana anachokijua zaidi ya kufuga mandevu uchizi tuu
  14. intermediate

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uncle mimi nakumudu, Age ain't nothing but a number

    hahaha. absolutely
  15. intermediate

    JamiiForums Tanzania Free unlock code day

    mkuu hii vodafone smart tablet 3G imei 355860064319344 Svn 040FNG2 tafadhari msaada wako mkuu
Back
Top Bottom