DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 5,579
- 10,272
Hata tukikushauri baadae tena utasahau tulichokushauri. Bora ubaki hvyo hivyo tu.
Adv ulisoma comb ganiNipo mwaka wa tatu naenda wanne lakini sijui chochote kile ninachokisomea yani mi ni mtu wa kukariri kwa kwenda mbele pepa ikiisha nasahau vyote
Na semester ikiisha ndo kabisa nasahau kabisa nilichojifunza semester nzima .
Mbaya zaidi hata vitu nilivyosoma advance navyo kama nilipita patupu yani nipo mweupe peee kama karatasi.
Sasa naona kabisa nikiajiriwa nitaaribu kazi za watu tu .
Sasa nipeni ushauri nifanyeje kuacha chuo siwezi naona nitakosa title mtaani ,lakini nachokisoma sikielewi nashindwa hata ambao hawakwenda shule kabisa angalau wau wana mwangaza kuliko mimi.
Ujinga mwingine wa watanzania kusifia kila cha Kenya au nje na kuponda kila kitu chao huu.We jamaa kosa si lako Bali ni mfumo tulionao sio rafiki na sio fikirishi. Kenya au Uganda ukimaliza high school wewe unaweza kupambana kimaisha, hapa kwetu ukimaliza degree unakuwa darasa la 7.
Juzi alikuja jamaa hapa Ujeruman kutokea bongo alikuja kuomba kazi hapa nilipo Mimi na unfortunately hakujua kama mi pia ni mbongo nikamwambia andika barua lete kesho saa4.
Cha kusgmhangaza kaja SAA 12pm na maneno kibao nkamwambia umeshafeli usailhili was kwanza, sasa kuhusu alichoandika mle kwenye barua ni aibu kukisema hapa. Dah
Ushauri....
Hakikisheni mnaitoa CCm 2020 maana huyu ndio adui number moja hapo Tanzania
Mjinga ni yule anayetetea ujinga na kuuona ni werevu. Hivi unaeza fananisha ubora wa elimu ya tz na Kenya wewe? Unajua au umewahi kifija Kenya wewe? Umewahi kusoma Kenya au na wakenya wewe? Tatizo hamna exposureUjinga mwingine wa watanzania kusifia kila cha Kenya au nje na kuponda kila kitu chao huu.
Hao Kenya na Uganda wapo wapi kama la Saba wao ni Bora kiasi hicho? Failures wa bongo wanaenda Uganda na wanafaulu huko afu unasifia elimu ya Uganda. Smdh
Kuna mambo mengi yanachangia elimu ya mtu ikiwemo mazingira aliyokulia, shule alizosoma, nidhamu yake nk. Kuna la Saba wengi tu hapa bongo wanafanya vizuri na Kuna wenye degree wengi tu Kenya hawana kitu. Acheni ujinga wakusifia kila kitu cha Kenya
usijali yote utayakuta ofisini na mtaani,mimi mwenye ukiniuliza chuo ulisoma nini hata sikumbuki na sifanyii kazi kikubwa pesa inaingia tu.......njoo na cheti chako akili utazikuta ofisiniWadau
Unaongea na mtu anayeijua Kenya Kama njaa. Watanganyika mnaamini kila cha Kenya ni bora, chochote cha Kenya kwenu ni Bora hata mavi yao mnasifia. Inferiority complex ya watanganyika ni ya kiwango cha juu.Mjinga ni yule anayetetea ujinga na kuuona ni werevu. Hivi unaeza fananisha ubora wa elimu ya tz na Kenya wewe? Unajua au umewahi kifija Kenya wewe? Umewahi kusoma Kenya au na wakenya wewe? Tatizo hamna exposure