wanatamani
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 415
- 145
Leo ni siku ya ku-unlock simu zinazohitaji unlock code bure ili kudumisha mahusiano mema na wateja wetu. Tuma aina ya simu na imei namba zake pamoja na provider code (kwa vodafone huwa zinaanza na 2avdtz1).
Kwa zinazohitaji direct unlock unaweza kufika ofisini kwetu ama uwe na kompyuta yenye internet, tutakuhudumia huko ulipo bure (namaanisha bila kulipa hata sent moja).
Mawasiliano: 0715387545
Kwa zinazohitaji direct cable naomba udownload program zifutazo ndipo upige simu;
1. Teamviewer inapatikana www.teamviewer.com
2. Flexihub inapatikana www.flexihub.com
Install hizo program na unitumie Team Viewer ID na password yake kwa ajili ya kuendelea na zoezi.