Recent content by Imwase

  1. Imwase

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Rugemalira mahabusu Segerea

    Alisema lini ? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Imwase

    JamiiForums Tanzania Je naweza kwenda kusoma form five na six kwa matokeo haya?

    Unaweza. Sharti la kwanza lazima uwe na "c" tatu ambazo unazo.yaani hizo ni credit. Unaweza kwenda kusoma hkl form six ila inabidi ukaze sana msuli Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Imwase

    JamiiForums Tanzania Nimsaidiaje huyu best yangu anayefilisiwa na Forex?

    Kama ni mvivu wa kusoma,ni bora ukakaa mbali na forex. Alafu huyo ana papara na haraka sana. Bado hajaifahamu forex,kwa nini asitrade demo kwanza ?
  4. Imwase

    JamiiForums Tanzania Vodacom kuna nini jamani? GB 1 masaa mawili

    Nimei-disable automatic update ya windows 10 kwenye laptop yangu,bundle ya wiki TTCL 2GB natumia wiki nzima kuanzia jtatu mpaka jpili
  5. Imwase

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali wadai ndege inayoshikiliwa Afrika Kusini ni ndege inayotumiwa na Rais Magufuli

    Mbona nasikia serikali ya tanzania imeshinda kesi kwa hoja nzito sana mpaka mawakili wa steyn wameshindwa kujibu ?
  6. Imwase

    JamiiForums Tanzania Clouds 360: Wananchi hawawezi kukaa muda mrefu bila mwakilishi wao kuwawakilisha bungeni haijalishi anatatizwa na nini!

    Kukubali kutofautiana kifikira na mawazo ndo demokrasi
  7. Imwase

    JamiiForums Tanzania Vijana maelfu warejea nyumbani kutoka JKT 2019

    Cheap labour ? Hivi unajua unachokiongea ?
  8. Imwase

    JamiiForums Tanzania Tamthilia za Azam tv zina Udini

    Pesa yake,kampuni yake,maamuzi ni yake. Wewe kinakuuma nini ? Hamia kwenye ving'amuzi vingine vyenye channels uzipendazo,bakhresa tuachie sisi tunazozipenda channels zake. Yaani wakristo mna chuki sana na waislamu,serikali mnaendesha nyie kwa asilimia 99 tangu tupate uhuru,sasa hamridhiki...
  9. Imwase

    JamiiForums Tanzania Tamthilia za Azam tv zina Udini

    Nchi ina matatizo makubwa sana ya udini. Kituo kikiwa na watangazaji 97% ni waislamu hao ni wadini,lakini kikiwa na 97% ni wakristo hao si wadini !!!
  10. Imwase

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, hii ni sawa?

    Kama ulishakuwa na misimamo yako ktk hili hukuwa na sababu ya kuja kuomba ushauri humu.
  11. Imwase

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi mwanamke kufika miaka 30 bila mtoto kwa kigezo cha kusubiri ndoa?

    Nilimuoa mimi nikiwa na miaka 36 na yeye 32
  12. Imwase

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kifaa cha kupimia Presha , Ntakipata wapi na Bei yake ni Kiasi gani

    Vipo vingi sana kariako.bei yake inaanzia 87,000 mpaka 150,000 kutegema na brand ya kifaa
  13. Imwase

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wavaa miwani mnakera sana

    Ni kweli bifocal inasaidia sana,lakini unajua bei yake ? Bei yake iko juu sana kwa hiyo siyo wote wenye uwezo wa kunujua bifocal
  14. Imwase

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wavaa miwani mnakera sana

    Hivi unajua aina za miwani ya macho ziko ngapi ? Ngoja nikupe shule. Miwani ya macho ipo ya aina mbili. 1.ya kuona karibu/ya kusomea maandishi madogo 2.ya kuona mbali. Mara miwani ya kusomea/maandishi madogo ukimuangali mtu aliye umbali kidogo inakuwa humuoni vizuri ndo maana watu wengine huo...
  15. Imwase

    JamiiForums Tanzania Kwa waislamu; Je, ni sahihi muislamu kutangaza biashara ya kitimoto?

    Nguruwe ni haramu ktk uislamu, Hivyo muislamu yeyote atakayefuga,kutangaza biashara ya nguruwe,kuuza dhambi zake ni sawa na aliyekula nyama ya nguruwe
Back
Top Bottom