dega
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 3,171
- 3,087
Wewe henga yako kisha andika "Tunafata misingi ya Gwajima mauno feni" ,uone utakatazwaKweli kabisa wana udini uliyopitiliza ujiangalia hotel yao iliyoko Zanzibar wameandika kabisa wanafuata misingi ya kiislamu alafu ajira zao more than 80% ni was dini yao jaribu kupiga cm kwenye customer service ya azam kingamuzi utasikia Hadija,zulfa ,mariam na majina kama hayo