Tamthilia za Azam tv zina Udini

Tamthilia za Azam tv zina Udini

Status
Not open for further replies.
Hii tamthilia inayoitwa sultani japo mimi sijawahi kuangalia nawafahamu mpaka wakristo wanaopenda kuiangalia na wana misimamo na imani yao ya kiktisto sasa wewe mchawi umetoka wapi kuona kuwa ni mbaya? Watu wengine bwana.
 
Angalia TBC mkuu ,yaani kule fully HD, na nyimbo za kufariji[emoji443]wakatiii umewadia wa salamuuu za wagonjwaaa hosipitaliniiii[emoji443][emoji443] Leo tunawapa poleeee[emoji443][emoji441]
 
wakiwa wakristo 98% watakuambia wana sifa, watakuambia tena ninyi waislam hamjasoma jitahidini muende shule mmekazania madrasa tu.

hawa watu wamelaaniwa
Nchi ina matatizo makubwa sana ya udini.
Kituo kikiwa na watangazaji 97% ni waislamu hao ni wadini,lakini kikiwa na 97% ni wakristo hao si wadini !!!
 
Basi kawashauri TING basi!
Mpumbavu ni wewe unaefikiria Mwenye Azam ahamue yeye Cha kuwaonyesha wateja wake Kama unavyofikiri.Baada ya kumshauri mnaanza kuwaona watu wapumbavu.Wateja wana haki ya Msingi malalamiko yamejaa Kila Kona na hii ni thread ya pili Kuna Jambo lazima lifanyiwe kazi.Kama anataka yeye Nini Cha kuonyesha hasingefanya biashara ingekuwa ya yeye na familia yake pamoja na dini yake.Samahani kama nimekukwaza lakini walahu nimejibu kulingana na comment yako.
 
Nakwambia acha upimbavu kumpangia mtu cha kufanya.
Lakini mtoa mada, umeangalia Azam tv hiyo hiyo chaneli ya Azam One saa moja kamili jioni kila siku za jumatatu mpaka ijumaa?
Kuna tamthiliya ya Kimexico ya Silvana; (Miss Chives) ambayo ukiangalia maudhui yake, utagundua pasipo shaka; dini iliyopewa kipaumbele mle ni ya Katoliki! Hivyo siwezi kuunga mkono hoja! Sema Azam tv wamekuwa na utaratibu wa kuonesha tamthiliya nyingi kutoka Uturuki! mfano ni Secret, hiyo Sultan, na nyinginezo nyingi![/Color]
 
Hivi hiki kituo cha Azam tv mbona kinarusha vipindi vinavyoeneza Dini moja kupitia lugha ya kiswahili.Dini nyingine zipo kwenye kipengele cha other channels.
mfano hiyo tamthilia inayoitwa Uhuru imejaa udini na inaonesha kukandamiza dini nyingine.
tamthilia ya sultan iliyoisha vivyo hivyo.mie naamini nchi yetu haina udini.
Ombi;basi angalau kama nyie luninga yenu mnataka thawabu wekeni vipindi vya dini nyingine pia.msitumie channel zenu kukandamiza dini zingine kwani sio nyie tu mnalipia ving'amuzi.
Kwani umelazimishwa kuangali?
 
hahaaa unajua mtu akipewa tv kuongeza basi ujue hata taka ya kwake.mfano huku s.africa amepewa mnaijeria basi dstv ya huku imejaa naijeria mpaka watu wamekuja juu.
 
Na nyie wakristo fungueni TV yenu muajiri wakristo 97 %msitupigie makelele hapa. Chuki tu zisizo na mpango shwaini
Kwanini ile ni waislamu!musimuaribie biashara jamaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom