Vijana maelfu warejea nyumbani kutoka JKT 2019

Vijana maelfu warejea nyumbani kutoka JKT 2019

NA HUO NDIO UKWELI MCHUNGU., JKT NI CHEAP LABOR KAMA VILE WAKOLONI TU. HUWEZI CHUKUA WATOTO UNAWALIPA ELFU 50 KISA UNAWAPA CHAKULA, WANALIMISHWA MASHAMBA MAKUBWA, WANAJENGESHWA, NA KILA AINA YA KAZI. WENGI WANAPATA ULEMAVU NA HATA MAGONJWA MBALIMBALI.
HII NI CHEAP LABOR. TUPAZE SAUTI ZETU. MM NIMEPITIA HUKO NIMEONA MENGI YASIYO NA HAKI KWA KIGEZO YA UASKARI KUMBE NI UONEVU TUPU.
Hata Americans wana JKT yao mkuu... Marais wote walishaenda vitani. Hivyo ndivyo CV zinavyotengenezwa.
 
Basi hukupikika kwa misingi na nidhamu ya kijeshi kama kweli umepita jkt sidhan kama ungeandika ulichoandika suala la kurudi lipo kwa maana mkataba uko wazi kbsa halafu sio mara ya kwanza kwa vijana kurudi home toka enzi za maraisi waliopita huu utaratibu ulikuwepo usipotoshe watu kupaza sauti kama umerudi home baada ya muda wako kuisha nakushauri tumia ujuzi ulioupata jkt katk maendeleo ya taifa
Mkuu usiongee na raia hyo hajaiva yn mazoezi ya kijeshi anasema ni uonevu hilo ni lilaia likakamavu
 
Habari wanajamvi.. ama baada ya kuwasalimu niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.

Vijana karibu 6000 wanatarajiwa kurejea nyumbani mara baada ya kumaliza mkataba wao na JKT.

Nafasi za kazi zimejazwa na watu wachache katika intake hiyo ya OP Magufuli., Katika hali ya ukosefu wa ajira JWTZ imetoa ajira 1000 tu.

Mungu awape nguvu vijana wale waliojitolea kupata maarifa.

NB. JKT sasa hivi ni kama sehemu ya kupata cheap labour.
Cheap labour ?
Hivi unajua unachokiongea ?
 
Nimekaa OLJORO yaan mnalima hadi usenge.. Baridi kali afu na zile kokoto pale chini unapigishwa push up za kufa mtu.
Mwisho madogo hata kazi za kawaida hawakumbukwi. Kama uzalendo wamepata kwann msiwape kipau mbele kuajiriwa wao kwanye nyanja mbali mbali.
MIAKA KADHAA HUKO MBELE NITABADILISHA. MAANA NITAKUWA KATIKA LEVEL YA KIMAAMUZI
SAFI SANA MKUUU... Huu utaratibu wa kuchukua vijana 6000 na kuanza kuwapigisha kazi akati unajua kabisa unaweza ajiri 1000 daah ni unyamaa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Yani Jeshi inabidi iwe sehemu strict kwamba hawa watapewa mafunzo na kuajiriwaa sio unafundisha watu kutumia silaha alafu kesho huwapi ajira
 
Kweli askari uliyeiva ukaungulia huwezi kuleta sheria zako za kiraia kwenye vyombo hivi
 
Dubai wanapenda Sana cheap labour huko ukienda unachexea mishahara ya USD 250-300 basi afu maisha yk ni ghali Sana.
Hii package ya graduate huku bongo.Hivo Ni nafuu kuliko bongo,chakula Na nyumba unapewa,
 
Sera mbovu za kuwaandaa Vijana kujitegemea ndio zimetufikisha hapa
 
Back
Top Bottom