Vodacom kuna nini jamani? GB 1 masaa mawili

Mteja akitaka Movie HALAFU sina Namropokea tu BEI

ananiambia hata kama ni 5000 ntakupa ilimradi unipe movie flani

namwambia Vuta kiti kaa chukua SODA hapo bili juu yangu,nipe dk kadhaa tu

Then najiunga na Kifurushi cha 1GB Kwa masaa mawili cha Voda

Namteremshia movie yake then namwambia Njoo bwana Lipia anatoa 5000

Nampa movie yake

Sifa zote kwangu namimi kimoyo moyo SIFA ZOTE nazirudisha kwa VODA.
 
Hakuna cha software wala hardware Vodacom Tanzania wapuuzi tu
Hahahaaa jamani muwe postive basi... ila kabla ya kuwatuhumu inabidi mjiridhishe kwanza. Kipindi nina kale kasimu kadogo niliweka vocha ya airtel nataka niunge GB nitumie kwenye pc. Ile vocha nimeweka tu ikakatwa eti nimewasha data. Jamani nilipigwa ganzi..hivi kisim cha batani unawasha vp data.
 
Back
Top Bottom