Recent content by Ikimita

  1. Ikimita

    TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

    Rest In Peace, Dena. Mungu awape nguvu wote mlioguswa na msiba huu.
  2. Ikimita

    Muhimu: Kulinda ajira za wazawa Tanzania...

    Rushwa mzee ndiyo imewapa upofu. Sheria zipo hakuna watu wa kuzisimamia.
  3. Ikimita

    Kipigo cha ZANU-PF dhidi ya MDC Zimbabwe ni salaam tosha!

    Hii inaweza kuwa ni salamu kwa CUF kujipanga kuelekea uchaguzi mkuu ujao 2015. Inaonekana serikali ya umoja wa kitaifa imekuwa mwiba sana kwa wapinzani walionekana kuwa na nguvu mfano Kenya na sasa Zimbabwe.
  4. Ikimita

    Mwanamke na kufika kileleni

    Sioni ajabu, inategemea chanzo cha penzi nini. Kuna ukweli ambao upo lakini watu wanasahau kusema. Siku hizi mtizamo wa mapenzi umelenga sana pesa au mali. Sitaki kusema akina dada ni machangu hapana ila kiukweli correlation ya mapenzi na pesa ni strong positive. Hali hii imewafanya wanaume...
  5. Ikimita

    Sensa 2012: Yanayojiri

    A big week for Hadzabes, free delicious monkey meat and marijuana!! According to recent records these fellow countrymen number is estimated to be 227 down from 750 as per 1985 census. The growth rate is negative, their survival is under serious threat. The results of this census should be used...
  6. Ikimita

    Kesi ya Lulu imeahirishwa!

    So you mean Kanumba was a paedophile?? ...and still died a hero, OMG!!
  7. Ikimita

    MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

    Wakuu, hadi kufikia sasa kura zilizohesabiwa ni sehemu gani ya kura zote zinazotarajiwa kuwa zimepigwa??
  8. Ikimita

    Mwisho mbaya wa aliyekuwa Rais wa Sierra, Leone Valentine Esegragbo Melvine Strasser

    No one to blame, he got screwed up the most by himself!? A serious public leader should always strike a balance between serving oneself and serving the needs of the other people. Pleasing others at all costs doesn't make much sense, and you know what, it costs in many ways including your own...
  9. Ikimita

    Viti Maalumu vyadhibitiwa

    Well, mimi naona ni wazo zuri. Ukomo utatoa fursa zaidi kwa wanawake wengine kuja na mbinu mbadala za kuwaletea wananchi maendeleo katika jamii wanazoziwakilisha kupitia siasa za kibunge. Natofautiana nao kitu kimoja, kwamba ukomo usiishie kwenye viti maalum pekee uendelezwe pia kwa wabunge wa...
  10. Ikimita

    Ukomo wa serikali ya tz kukopa ili isifilisike unakaribia mwisho.....imefahamika..

    Government spending needs to be checked. I mean, it is time for government to cut back and spend less - freeze unnecessary spending. "All of the problems we're facing with debt are manmade problems. We created them. It's called fantasy economics. Fantasy economics only works in a fantasy world...
  11. Ikimita

    JamiiForums Exclusive: Kiranga and Fellow members English Debate

    Lakini Nyerere alikuwa na mtizamo tofauti kuhusu matumizi ya lugha ya Kiingereza, angalia nukuu yake hapa chini. "Tunao waswahili ambao jambo la kipumbavu likisemwa kiingereza lionekana la maana sana" J.K. Nyerere
  12. Ikimita

    Sheikh Ponda na Sheikh Basalehe ni kina nani ndani ya CUF?

    Kweli, wala hakuna ubishi. Tukio la CUF halina tofauti kabisa na lile la NCCR. Hawa wazee ni viongozi wa kidini sasa kama hoja ni kulainisha mambo na kuondoa vitisho vya kutoweka kwa amani na pia kuwa wapatanishi mambo yanapoenda ndivyo sivyo, kwa nini wajikite kwa CUF pekee?
  13. Ikimita

    Uranium Mining Projects In Tanzania: Progress...

    FJM, Kuna haja kweli ya kuwalaumu wamericani kwa hili? Mimi nadhani ni sisi wenyewe ndiyo tunatakiwa kujipanga kufanya uchambuzi wa kina kuhusu Uranium. Hii ni pamoja na kuwatembelea nchi wozoefu ambao tayari wanachimba madini haya. Kwa kufanya hivi tutajenga ufahamu wa kutosha utakaotuwezesha...
  14. Ikimita

    Anadarko touts East Africa natural gas prospects Shares surge on news.Kusini kutashikika!

    ... so it remains speculation, unless you publish your data.
Back
Top Bottom