Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,659
Kwahiyo anataka kututengenezea game la kutokomeza rushwa? Mchumia tumbo huyuKumbe Makamba ni Game Programmer,
Kwahiyo anataka kututengenezea game la kutokomeza rushwa? Mchumia tumbo huyuKumbe Makamba ni Game Programmer,
Rushwa inayomuumiza mtanzania si hii inayoombwa na clinical officers au nurses kwenye vituo vyetu vya afya. Ni ile inayotolewa na multinationals kwa viongozi wetu kama vile tunavyosikia kuwa wamewekewa billions huko Uswisi, na kama vile Barrick walivyompa Makamba huyuhuyu billions kuwasaliti watanzania wenzake wa Nyamongo.
Mkuu,Huu ni upotoshaji,
rushwa zote ni mbaya. Clinical officer wa leo ndio waziri wa afya wa kesho. Akishajenga tabia ya rushwa, hawezi kuacha akiwa ofisi ya juu, kitakachobadilika ni amount tu. Kupiga rushwa kubwa vita wakati tunakumbatia rushwa ndogo ni sawa na kujaza maji kwenye gunia...
You're perfectly right Marcopolo, rushwa ni rushwa tu. Kinachonitatiza ni kwamba pamoja na kuwa hawa wadogo wanaodaiwa kuhusika na rushwa wamekuwa wanakamatwa kila siku, (Which is right though) wahusika wa rushwa kubwa inakuwa ngumu sana kuguswa hata panapokuwa na ushahidi wa dhahiri kama ilivyo kwenye rushwa ya pesa ya ununuzi wa rada.Huu ni upotoshaji,
rushwa zote ni mbaya. Clinical officer wa leo ndio waziri wa afya wa kesho. Akishajenga tabia ya rushwa, hawezi kuacha akiwa ofisi ya juu, kitakachobadilika ni amount tu. Kupiga rushwa kubwa vita wakati tunakumbatia rushwa ndogo ni sawa na kujaza maji kwenye gunia...
PascoMushi, tuwe wakweli, Watanzania wangapi wanaweza ku secure international loan?, wangapi wanajua "bond" bussiness?, wangapi wanaweza kuwekeza "wall street? etc?. This is a good move na kama ni kweli, Chadema itachukua 2015, then 2020 ni January type watairudisha madarakani na itatawala milele!.
Mafisadi wana pesa nyingi sana za kutosha kusafishwa hata na CNN nani asiyejuwa?
Eti anapinga ufisadi, kwa kupitia chama gani? CCM? Lini na wapi? Hizi porojo tu na wananchi wa kawaida sidhani kama they care about this, they know the truth, and so nashangazwa na merit ya habari hii pamoja na malengo yake either mwandishi,ama January ama maybe both wana agenda moja mbaya.
Eti atapinga ufisadi kwa text, upuuzi mwingine bana unaudhi sana. Mmeshindwa kuondoa mafisadi kwenye chama na serikali sasa mnadanganya wananchi wa text kuhusu rushwa ndogo ndogo. Mfano unatakiwa uanzie juu! Wajibisheni mafisadi kama wananchi hawatafuata mfano na kusema kweli nikimripoti hatua itachukuliwa.
Mnaniudhi sana ndugu Makamba kwa kutona kama sisi wajinga kiasi hiki!
'... In 2009, President Kikwete introduced him to Barack Obama, who was much taken by his dynamism, observing that he was the sort of politician likely to help transform the fortunes of the continent.
Makamba is an interesting combination of old and new Africa. He attended university in the US, but explains that, although he is the son of a teacher, politician and public servant, it was the time spent in Tanzania's rural areas as a child that most influenced his development. "The most rewarding experience was living with my grandmother. The daily routine was testing – I'd wake at 5am, walk 8km to school, come home at 3pm and go out to herd goats." This gave him, he feels, the "empathy needed for good decision-making".
It was empathy that turned him into a politician when, in his gap year, he was manager of Mtabila refugee camp, overseeing 120,000 Burundi refugees. "Witnessing that misery made me political." It made him "philosophical". But Makamba has emerged as a politician who does more than philosophise. He is an innovator with formidable drive. He is determined to unshackle his country from reliance on aid. He set up Bumbuli Development Corporation to borrow $10m from Wall Street philanthropists, invested in bonds with dividends to be spent in his constituency. "We decided not to find an NGO to help us but start our own – and not make it a charity. We have had a flurry of NGOs with little impact. This corporation would be a driver for development and private enterprise.
It would be a social business with huge potential." The corporation money is already funding community projects. He gives an example: "Fifty per cent of our fruit and vegetables used to be spoiled before going to market." Now, a "new aggregation centre" is putting this right.
.... "Only 6.9% of corruption cases are currently reported. We want to solve the problem. Almost everyone in Tanzania has a mobile." He sets the scene: "At a hospital you are asked for a bribe. You have a USP code, you enter the location and details of the bribe and send it to a web platform: it will appear as a dot on a map so everyone can see that at a certain hospital a bribe was asked for."'
jmushi1
Mkuu, hapa ndipo mimi ninapotofautiana na baadhi yetu humu! Tunapaswa tuwe na genuine appreciation kwenye every good deed someone does, na kiukweli, this guy ni briliant na upstairs yuko fit sana!.
Niliwahi kusafiri nae same flight na baada ya hapo nikapanda lift yake na ndipo nilipokuja kumfahamu vizuri, kiukweli, he should have not supposed to be CCM kwa sababu anaelewa fika how CCM stink with rushwa, huyu alipaswa kabisa kuwa kwenye opposition, tatizo lake he is too genuine, anaijua vizuri Tanga, anawajua vizuri watu wa Tanga, ameamua kubaki CCM just not to waste the opportunities, ili watu wa type hii, 'young, vibrant reformists, wakiishika CCM vilivyo, nawahakikishia 2015, ikulu tutaishia kuisikia kwenye bomba tuu!. Thank God CCM is rot toka kwenye mizizi, anachotaka kufanya ni kukata tuu matawi ya rushwa kule kwenye ncha kwa kuibua hivi vijirushwa vidogo vodogo vya kiasi cha mboga, huku mashina na mizizi yenye grand corruption are untouchable na huu ndio mtaji mkubwa wa kifo cha CCM!.
Mushi, tuwe wakweli, Watanzania wangapi wanaweza ku secure international loan?, wangapi wanajua "bond" bussiness?, wangapi wanaweza kuwekeza "wall street? etc?. This is a good move na kama ni kweli, Chadema itachukua 2015, then 2020 ni January type watairudisha madarakani na itatawala milele!.
Rushwa inayomuumiza mtanzania si hii inayoombwa na clinical officers au nurses kwenye vituo vyetu vya afya. Ni ile inayotolewa na multinationals kwa viongozi wetu kama vile tunavyosikia kuwa wamewekewa billions huko Uswisi, na kama vile Barrick walivyompa Makamba huyuhuyu billions kuwasaliti watanzania wenzake wa Nyamongo.
The daily routine was testing I'd wake at 5am, walk 8km to school, come home at 3pm and go out to herd goats." This gave him, he feels, the "empathy needed for good decision-making".
nilikuwa natafakari mstari huo...