Kesi ya Lulu imeahirishwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya Lulu imeahirishwa!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by gody, Apr 23, 2012.

 1. gody

  gody JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 1,227
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kesi ya masanii wafilamu Tz Elizabeth Michael kama 'Lulu'
  kesi yake imeahirishwa mpaka 7-may 2012!
  source: Tbc1
   
 2. M

  Malyenge JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 4,409
  Likes Received: 1,371
  Trophy Points: 280
  Hapo ngoma ndo imeanza! Na hapo ndo wameanza kumsaidia. Maana angekuwa si mtu maarufu kesi yake isingekuwa inaahirishwa kwa muda wa wiki mbili (fourteen day rule) kesi iliyoahirishwa leo ingetajwa tena mpaka novembaaaa 2012!!!
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  I feel sorry for this young girl.God bless her..
   
 4. M

  Mboerap Senior Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  IMEHAIRISHWA au IMEAHIRISHWA?
   
 5. S

  Skype JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Mkuu bora umenisaidia yaani hua nakereka sana mtu anaposema kesi imehairishwa badala ya IMEAHIRISHWA. Sijui tatizo nini?
   
 6. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Nimeanza kumsikia huyu bint baada ya kifo cha Kanumba. Jana nimefanikiwa kumuona ktk taarifa ya habari ya ITV. Ni mdogo sana na ninaamini kwamba yupo chini ya miaka 18. Anahitaji msaada wa kisaikolojia. Kama kuna watu wa kulaumiwa ni wazazi wake kwa kushindwa kumlea vema. Lakini pia ilaumiwe jamii iliyokua imemzunguka wakiwemo wasanii wenzake. Malezi ya watoto wetu hayaridhishi,ni mabovu. Lakini kosa lenyewe ni la bahati mbaya,nadhani mwisho ataachiwa huru ama atahukumiwa kwa mauaji bila kukusudia.
   
 7. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,725
  Likes Received: 1,631
  Trophy Points: 280
  imedhihilsha kuwa Lulu bado ni mtoto hata saouti yakilio alichokitoa
   
 8. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Tatizo kubwa ni kabila mkuu!
   
 9. Ikimita

  Ikimita JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 302
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  So you mean Kanumba was a paedophile?? ...and still died a hero, OMG!!
   
 10. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Huenda ni kweli. Kuna watuhumiwa wengi sana magerezani wanalalamikia ucheleweshaji wa kesi zao kwa kipindi kirefu mno!
   
 11. N

  Nguto JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,654
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  Ukweli kifo cha Kanumba hakihusiani kabisa na Eliza. Kosa la Eliza ni kuwepo kwa marehemu usiku. Mtoto wa kike usiku kwa mvulana!!! Maadili ndio yamemponza Lulu. Naamini atatoka na labda atapata fundisho. Kweli wazazi wake ndio wa kulaumiwa kwa kutompa Eliza malezi mazuri. Jamani mlio na watoto mlee watoto wenu kumjua Mungu, nao wakikua hawatamuacha. Tuchukue hii kesi ya Lulu kama fundisho kwetu jinsi ya kulea watoto wetu.
   
 12. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hapo pekundu ndipo tunapochafua kiswahili chetu ama kwa makusudi au bila kujua. Hivi wataalam wa Kiswahili hamlioni hilo? Kuhairishwa ndio nini? Hivi KUAHIRISHWA ina maana sawa na kuhairishwa? Nene mvifire hiro.
   
 13. d

  djochuku Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  eeehh ndugu yangu mtuhumiwa akiwa mahabusu siku 14 sio ajabu. sheria haina ushabiki.jaribu kuuliza basi kabla ya lawama.
   
 14. d

  djochuku Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  unajua kuongea kitu ambacho huna uhakika nacho ni ungo.kama kweli inakuuma watu wnatafuta wanaofahamu ukweli wewe umekaa kimya.halafu unageuka hakimu.acha 'vijiwe laws.'
   
 15. J

  John Gelas Senior Member

  #15
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Dah!nas tumechoka kla cku kuairishwa?
   
 16. SR senior

  SR senior JF-Expert Member

  #16
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 342
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  hapana mama lulu alimkabidhi lulu mikononi mwa marehemu akiamini mwanawe yupo kwny mikono salama na angepata malezi bora, kumbe alimpelekea mifupa fisi na matokeo yake akapata bora malezi, kilichomponza lulu ni kipaji chake na hasa kwa kuwa umri wake ulikuwa mdogo mno hvyo alihtaj uangalifu wa mtu makini anayejua matatizo rika, sasa badala ya kupewa mafunzo ya kuepukana wakamkomaza akawa hasikii la muadhini wala imamu, maskn akashndwa kutofautisha nyeusi na nyeupe, hatmaye yakamkuta ya ulimwengu.
   
 17. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  mkuu umekwenda mbali sana. hata hivyo ni kweli alikua anatembea na mtoto mdogo ambaye kama siyo malezi mabovu anapaswa kuwa shule akisoma!
   
 18. ha ha ha

  ha ha ha JF-Expert Member

  #18
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 641
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ofcoz wazazi wana mchango mkubwa ktk maisha ya mtoto. Lakini, kuna vitu vingine vinaonesha utashi wa mtoto husika

  either uko chini ama haupo kabisa. Huyu dogo kama walivyo madogo wengine siku hizi,ana tamaa ya maisha flani ambayo

  kiukweli yako juu ya uwezo na sio kutaka mapenzi. Na siku zote tamaa ya fisi huponza. Ila wengi tunamuonea huruma coz

  kafikwa na makubwa zaidi ya funzo. Ila ndo dunia hiyo na bado wengine tunawaona wanadandia wa umri wa baba zao

  mpaka leo.
   
 19. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #19
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Hapana mkuu. Kwa walio rumande wote yaani mahabusu kwa sheria ni lazima arejeshwe mahakamani kila baada ya wiki 2 au siku kumi na nne. Kama uko uraiani na kesi bado inanguruma inatakiwa kutajwa kila baada ya siku 30 isipokuwa kama inasikilizwa kwa mfulilizo, au kama mashahidi wanapatikana kwa haraka na hakimu ni available then mnaweza kusikilizwa kwa intervals za a week or less. But kwa kuwa hawa waendesha mashtaka wa DPP ni wachache basi kesi wanaendesha wanavyotaka wao maana wanachoka na ndiyo maana kesi nyingi hata ya wizi wa mende inachukua miaka. Kwa mantiki hii hi kesi ya huyu binti yangu mrembo itachukua muda mrefu sana kwenye upelelezi na mpaka ianzwe kusikilizwa, tena uombe tena kama watu wa DPP hawajabadilisha hati ya mashtaka. Yaani ni kizungumkuti but I believe our lovely LULU is innocent!
   
 20. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #20
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo ameshahamishiwa mahabusu za watoto au bado yu Segerea?
   
Loading...