kwa waislam hilo si tatizo kwenda gerezani, nini? gereza sema kuwaua hatuogopi
kiongozi mkuu wa waislam?? kuwa sirias mkuu!Kiongozi wetu mkuu wa waislam Mufti wa Tanzania amesema anayekataa kuhesabiwa ni Kaffir
Watueleze na tulivyonufaika na takwimu walizochukua mika 10 iliyopita.Ni takriban dakika 10 zilizopita nimekuwa na ugeni nyumbani kwangu wa karani wa sensa na imenichukua kama dakika 7 au 8 hivi kukamilisha zoezi zima la kuhesbiwa. Maswali aliyouliza ni watu wangapi wamelala kwenye nyumba usiku wa kuamkia leo, umri wa kila mmoja, elimu yao, je mko katika mfuko wa hifadhi ya jamii au bima ya afya, kuna mlemavu yeyote katika familia, kuna kifo chochote kimetokea kati ya mwaka jana na sasa, kuna ndugu yeyote yuko nje ya nchi? Ni hayo tu, nawasihi wale wanaoogopa na kuhofia mambo kibao wasifanye hivyo maana ni very interesting. I suggest tuwape ushirikiano makarani wa sensa maana takwimu hizi zitatumika kwa miaka 10 mbele hivyo ni muhimu sana. I wish you all the best, week end njema!
Hongera JK na familia yako kukamilisha zoezi la kuhesabiwa wewe na familia yako.Aidha ruksa kwa makundi yoyote yanayotaka kutangaza takwimu zao za sensa hadharani ili mradi kisiwe ni chombo cha Serikali.Hilo ulilolisema kwenye mahojiano yako na vyombo vya habari ujumbe umefika. Swadakta.Udadadeki mwenye macho haambiwi tazama.
Mie najiandaa kubandika bango langu la "Nyumba hii ni ya waislam hatuhesabiwi" ili huyo kalani wenu asijisumbue kufika hata uwani kwangu.
Yako wapi! Mbona Shehe Ponda kahesabiwa. Ni jirani yetu. Kumbe Watanzania maneno tu
Subiri 2015 kwenye mikutano ya kampeni ukomae na swali hili...usipopata jibu pigia kura chama kingine. Lakini nina wasiwasi itakapofika 2015 kama kawaida watu wataanza tena kutumiwa na kudanganyana kwenye nyumba zao za ibada na mwisho wa siku mtaipigia tena kura CCM kukikomoa chama kingine kama mlivyofanya 2010. Tukifika 2022 mtaanza tena kulalamika hivyo hivyo hatuoni maendeleo ya miaka 10 iliyopita lakini tukifika 2025 kwenye uchaguzi mtadanganyana zaidi na zaidi kwenye nyumba zenu za ibada na mpaipigia kura tena CCM kukikomoa chama kingine...Mzunguko unaendelea na jinsi siku zinavyokwenda ni hawahawa wanaolalamikia mfumo kristu ndiyo wanaotumika kuirudisha serikali ileile wanayoilalamikia madarakani...Watueleze na tulivyonufaika na takwimu walizochukua mika 10 iliyopita.
kiongozi mkuu wa waislam?? kuwa sirias mkuu!
SOMA HAPA CHINI .... wakati nakutafutia kifungu unachovunja..... The Mayor warned them that whoever would not cooperate will be going against the law and may face the consequences, including serving jail terms of up to six months or more.
Mkuu hapo hatuangarii mabango Razima utahesabhiwa Thuuu!!
SOMA HAPA CHINI .... wakati nakutafutia kifungu unachovunja..... The Mayor warned them that whoever would not cooperate will be going against the law and may face the consequences, including serving jail terms of up to six months or more.
Ni takriban dakika 10 zilizopita nimekuwa na ugeni nyumbani kwangu wa karani wa sensa na imenichukua kama dakika 7 au 8 hivi kukamilisha zoezi zima la kuhesbiwa. Maswali aliyouliza ni watu wangapi wamelala kwenye nyumba usiku wa kuamkia leo, umri wa kila mmoja, elimu yao, je mko katika mfuko wa hifadhi ya jamii au bima ya afya, kuna mlemavu yeyote katika familia, kuna kifo chochote kimetokea kati ya mwaka jana na sasa, kuna ndugu yeyote yuko nje ya nchi? Ni hayo tu, nawasihi wale wanaoogopa na kuhofia mambo kibao wasifanye hivyo maana ni very interesting. I suggest tuwape ushirikiano makarani wa sensa maana takwimu hizi zitatumika kwa miaka 10 mbele hivyo ni muhimu sana. I wish you all the best, week end njema!