Mwanamke na kufika kileleni

Mwanamke na kufika kileleni

katika topic nying ambazo nimekuwa nikisoma nikukuta wanawake wengi wakilalamika kuwa hawafikishwi kileleni nawapenzi wao wengne wamekuwa hata hawajui kufika kileleni kuko vipi..je unadhani wanaume tunahitaji darasa huru la kuwahandle hawa gf zetu?

Majority siku hizi wanajua kufake 'kilele'
 
Wasio fika kileleni wana matatizo, K ilio jituliza ukiweka kitu ndani unapata matokeo yake pale pale haichukui mda, ni sawa sawa na new car na old car, ile mpya ukiweka tu ufungua ndani haichelewi kuwaka, ya zamani utasumbuka sana haswa kama maderever walisha iendesha sana na mara nyingi sana kuwaka kwake mpaa uisukume sana :biggrin1:
...uisukumie wapi........
 
ndio maana siku hizi viagra zinauzwa sana ,kumbe wadada wengi wanapenda kusuguliwa sana.
 
Sioni ajabu, inategemea chanzo cha penzi nini.

Kuna ukweli ambao upo lakini watu wanasahau kusema. Siku hizi mtizamo wa mapenzi umelenga sana pesa au mali. Sitaki kusema akina dada ni machangu hapana ila kiukweli correlation ya mapenzi na pesa ni strong positive.

Hali hii imewafanya wanaume wengi kujijali wenyewe yaani kujikidhi binafsi kulingana na jinsi wanavyogharimika. Suala la ama mwenza wake kafika au hajafika kwa walio wengi linakuwa halina maana katika kufikia malengo yao.
 
Wengi wa wasiofika kileleni ni waliokeketwa! Unahitajika ujuzi sana kuwafikisha kileleni hawaii. Na ukifanikiwa wanashukuru sana
 
wadau hebu nisaidieni wadau.ujue mimi najiuliza nashindwa kuelewa kwamba mwanaume anaweza je kujua kama mwanamke kafika kileleni kwa sababu wanaume wao iko clear ila sasa kwa hawa wenzetu mimi siwaelewi!
 
anakunywa maji mengi
miguu itakuwa inamuuma
atakuwa anahema kwa haraka
atakuwa amechoka
ataangalia bondeni huku haamini kama amefika mlimani
 
wadau hebu nisaidieni wadau.ujue mimi najiuliza nashindwa kuelewa kwamba mwanaume anaweza je kujua kama mwanamke kafika kileleni kwa sababu wanaume wao iko clear ila sasa kwa hawa wenzetu mimi siwaelewi!



ila hua wanatofautina kiaina nadhani
wangu mimi "k" hua inalowa sana kupita kiasi,sio dizain ya maji maji la hasha,ila hua kuna ute ute flani mzito mzito ivi,pia mihemko yake inavobadilika
yan kama vile gari scania inapopanda mlima mrefu kama wa kitonga ule mabadiliko ya gia hua yanasikika clear kabisa
ila wajuzi zaidi wasubirie watakuja hapa
 
Ah mie Towashi siku hizi. Sijui mapigo ya kisasa maana watoto wa facebook wana mambo yao. Hapo kale..... ililikuwa inatofautiana kati ya mwanamke na mwanamke. Wengine hupiga ukunga, wengine hujamba... sasa sijui wa kwako anafanya nini
 
dah aisee wakwangu huwa anazimia bana
kabisa anazima kama dk 2 hivi
mara ya kwanza ilikuwa noma mpaka nikahisi imeua mtu, acha nikurupuke kitandani, fasta na glas ya maji nikammwagia usoni, ndo naona huyoooooooooo, nikamuuliza kulikoni, ndo akanambia, nxt time usistuke ndo niko hivyo
nikajua daaaaaaaaaaaahhhhhhhhhh
 
Betlehem, unajofunza matusi wakati klismas imekaribia??
 
Kama amevaa viatu virefu lazma avivue na mwendo wake utakua wa kukunja magoti na kuhema sana.
 
wadau hebu nisaidieni wadau.ujue mimi najiuliza nashindwa kuelewa kwamba mwanaume anaweza je kujua kama mwanamke kafika kileleni kwa sababu wanaume wao iko clear ila sasa kwa hawa wenzetu mimi siwaelewi!


Ngoja tumuulize Kongosho yeye wake anajuaje kama kampandisha mlima!
 
Last edited by a moderator:
Hi wana JF,

Mimi mke wangu huanza kumuandaa kwanza kwa kucheza na nywele, chuchu masikio na ki..mbe na mara anapokua tayari kabisa naingia kwenye K yake huku nikiwa nimeweka concentration kubwa amini kabisa round moja mke wangu hupata orgasm au hufika kileleni mara tatu na zaidi.Katika kuhakikisha mke anafika kileleni ipasavyo wala haihitaji kupiga round nyingi, round moja tu inatosha kabisa kumfikisha mke kileleni zaidi ya mara tatu.Wadau toeni michango yenu kuhakikisha tunapunguza tatizo la wanawake kutofikishwa kileleni (Orgasm) hata wadada toeni michango yenu hasa kutuongoza katika sehemu muhimu ambazo zinahitaji kuguswa ili uwe tayari kwa tendo husika na hatimaye ufike kileleni na kufurahia ndoa yako.
 
Back
Top Bottom