Chivayo hakuwa mshirikina, alikuwa mtakatisha fedha maarufu. Nyuma yake kuna majina makubwa sana, yakihusisha masuala ya silaha haramu, madini, madawa haramu, biashara ya binadamu nk. Kuna vyanzo kadhaa vya habari vimeandika kwa undani sana masuala ya utakatishaji pesa wa Chivayo na genge lake...
Unfortunately magari sio yao, ni bragging tu. Ukitaka wakuroge waambie wakuoneshe kadi za magari hayo zikiwa na majina yao halisi. Kinacowaweka mjini ni uchumi wa PAKA.
Duh. Inasikitisha sana. Pole kwa mkasa huo. Labda ushauri naoweza kukupatia, angalia namna ya kumdhibiti kisheria, tresspassing. Kama hatoi matumizi, ana haki gani ya kukuita mkewe?
Je bado mnaishi pamoja ama kila mtu anaishi kwake?
Yaani, inasikitisha sana. Unapambana kabisa kutaka binadamu mwenzako anyongwe, kisa? Anapambania haki za walio wengi ambao wanaibiwa, wananyanyaswa katika nchi yao, wanatekwa, wanauawa.
Upo sahihi, naona baadhi ya Watanzana ni wafaidika wa uchafu huu. Hata Makonda akiwa RC wa Dar, alipambana na kukomesha ushoga lakini akakwama. Inawezekana kuna watu wazito wapo nyuma ya uchafu huu!
Ukiona mbwa anabweka sana ujue yupo karibu na kwao. Kiburi cha Madereva kina wenyewe nyuma yake, kumbuka akiwa na ugomvi na Ruge, Gwajima, Warioba, Gambo, Mpango nk. Hakuna hatua yyt ilichukuliwa dhidi yake!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.