Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,335
- 33,721
Mimi kulipiwa bill na mwanamke haiwezekani.Nani anapaswa kulipa bili siku ya kwanza ya kukutana (first date) na kwa nini?
Yaani mimi nitoke na mwanamke halafu anilipie bill nahisi makende yametoka.