Hivi wazungu huko kwao kuna supu ya utumbo?!

Kama haipo ya utumbo na ya kongoro basi bora nibaki Afrika.

Supu ya utumbo, maharage na chapati 2 mchambuko na maharage ya kumimina aah wee

Ipo hata ukitaka supu ya chura
Kama haipo ya utumbo na ya kongoro basi bora nibaki Afrika.

Supu ya utumbo, maharage na chapati 2 mchambuko na maharage ya kumimina aah wee
Wanayo na hata ukitaka ya konokono,chura au hata nyau unapata hata iwe ya kasongo.
 
Miguu ya kuku na utumbo. 😋😋
Mkuu naunga mkono nimeila sana nikiishi mbagala ila huku mabwepande haipatikani...na mishkaki ya kutungwa kwenye chelewa unatoweleza kwenye kachumbari ya kupika ya ujamaa
 
Back
Top Bottom