Sijui ni lini Tutaelimika.kweli ya kaisari mpeni Kaisari, MASWALI LA MSINGI:
Je dawa ya huyo RAIS ina masharti ya kiimani?
Je amekubali ifanyiwe uchunguzi wa Kisayansi?
But kama ina masharti ya kiimani au lazima akupe yeye mwenyewe au lazima mtu anywe hapohapo huo utakua upuuzi kama upuuzi wa...
He! kila siku babuuuuuu,babuuuuuuuuu, Kweli tutachelewa kuendelea.Waacheni wenye Imani zao waende,Wakipona Faida kwa Taifa wasipopona Hasara kwao.Wenyewe washawaambia ni masuala yanayohusu Imani zao,sasa kinachokuuma ni kitu gani wewe usiye amimi?Watu mnajaza Thred kibaaaaaaaaao,mawazo ni...
Waislam tunafahamu kama Yahya Hussein is nothing but Mshirikina hilo neno Shekh lisikutishe jamaa msanii tu kama wasanii wengine na wafuasi wao ni mbumbumbu wasiojielewa na wasioelewa DINI pamoja na waliopoteza dira za maisha.
Samahani ivuga naomba ulifute Hilo neno Rangi NYEUSi maana linakuonyesha kama wewe unasuport Racism maana hata hao watu weupe wana uozo kibao. sio waarabu wala wazungu.Tunachotakiwa kufanya ni kutafuta way out sio mineno miiiiiiiiiingi halafu point ni 10%.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.