Rais wa Gambia Yahya Jammeh anatibu ukimwi babu wa loliondo mwenzako huyoo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wa Gambia Yahya Jammeh anatibu ukimwi babu wa loliondo mwenzako huyoo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by yeto, Mar 14, 2011.

 1. y

  yeto Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 15
  rais wa Gambia anatibu ukimwi na magonjwa sugu toka mwaka 2007, mwaka huu aliazimisha mafanikio yake, kwenye website ya serikali Office of The Gambian President: State House Online: Yahya A.J.J. Jammeh

  inasemekana ametibu watu kibao ingawa yeye mwenyewe anajisifu kuwa ni Dr
  "I am not a witch doctor and in fact you cannot have a witch doctor. You are either a witch or a doctor."

  "I can treat asthma and HIV/Aids... Within three days the person should be tested again and I can tell you that he/she will be negative," he said in a statement.


  kwenye maamdhimisho ya nne DR. TAMSIR MBOWE kwa waliopona hiv na magonjwa mengine kwenye hutuba yake alisema

  "At the time, it was an open secret that all other attempts by medical science to find a cure especially for HIV/AIDS, remained elusive. Even a cure for the other ailment that was not well established by medical is now assured of a proper and real cure for a cluster of diseases previously thought impossible to cure. The is irrefutable evidenced by the significant number of patients already successfully treated and cured, comprising of patients from all over the sub-region and beyond. This also proves that medical achievements are not based on the holds"


  YouTube - Meet the President - Yahya Jammeh - 14 May 07 - Part 1
   
 2. U

  Uswe JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  huyu simuamini kabisa bora hata babu
   
 3. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Sasa mbona hapo kwenye DR. TAMSIR MBOWE umesisitiza na bold, tena kwa capital letters. Iweje?
   
 4. n

  ntobistan Member

  #4
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aja2ambia yey anatib kwa bei gan na vilevil yey anatumia miti gan?All 4 all babu yuk juu kwan anatib kwa siku moja ila huy rais wa gambia ana2mia siku 3?Duh hy siy tiba
   
 5. Ibnu Ayoub

  Ibnu Ayoub Member

  #5
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Sijui ni lini Tutaelimika.kweli ya kaisari mpeni Kaisari, MASWALI LA MSINGI:
  Je dawa ya huyo RAIS ina masharti ya kiimani?
  Je amekubali ifanyiwe uchunguzi wa Kisayansi?
  But kama ina masharti ya kiimani au lazima akupe yeye mwenyewe au lazima mtu anywe hapohapo huo utakua upuuzi kama upuuzi wa KAKOBE na YAHYA HUSSENI.Tuwaachieni wenyewe wanaoamini.
  Lakini nawaombea imani zenu ziwaponye ili tuendelee na mambo ya maana katika ujenzi wa taifa letu(Aamen).
  am out.
   
 6. Mroojr

  Mroojr Member

  #6
  Mar 15, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ulichosema ni cha maana sana.Dawa kama dawa ukipewa na daktari yoyote mahali popote muhimbili,bugando ama kcmc alimradi ni dawa ile ile utapona.Sasa hizi dawa zao mpake akupe yeye halafu unywe hapo hapo mi haingii akilini,kwanini isiwe dawa bila wewe.Yawezekana kabisa ni kiini macho.
   
Loading...