Kwanza inabidi uoe Binti mwenye Sifa zifuatazo.
Wamaalia yaani kwa Mali zao,malizia basi.
Amesema mwenye nia amtumie PM
Majungu ya nn
Kwa uzuri wao
Kwa mali zao
Kwa nasaba zao
Kwa dini zao
Habar ndugu zangu!
Kichwa cha habari hapo juu chahusika, mimi ni bint wa miaka 21yrs nipo dar,
ni mwanachuo wa mwaka wa2,
sio mrefu sana wala co mfup pia mwembamba, rangi maji ya kunde
sifa za nimtafutae
miaka 23-27
awe mfanyakazi au mfanyabiashara
awe mkazi wa dar
mkweli, mkarimu na anaejali,
lazma we muislam mwenye hofu na mungu
mpenda maendeleo
NB:kwa aliye na nia tu ani PM
matus sihitaj tafadhal.
Thanx.
Jaman me ctanii wala ctak kuznguana nimesema ambaye yupo serous km haupo serous naomba upite mbali
Unataka wa kukusomesha wewe
Jaman me ctanii wala ctak kuznguana nimesema ambaye yupo serous km haupo serous naomba upite mbali