Yu wapi Salama Kikwete?

Mzalendo Mkuu

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
735
191
Jamani nchi kweli imekuwa kimya. Baada ya mbwembwe na shughuli nyingi kwenye awamu ya kwanza, mama Salma Kikwete hasikiki tena. Hata siku ya wanawake tarehe 8 March 2011 hakuonekana wala kusikika. Yuko wapi huyu mama? Kuna tatizo?:gossip:
 
Kapigwa chini.... sasa hivi rais ana kigoli kipya... Hii ni kwa mujibu wa waliohudhuria sherehe za harusi.!!!!!!!!!!!!!!!!!!:juggle:
 
Kazi imekwisha anakula kuku, Nyie tena si deal kwake
 
Kapigwa chini.... sasa hivi rais ana kigoli kipya... Hii ni kwa mujibu wa waliohudhuria sherehe za harusi.!!!!!!!!!!!!!!!!!!:juggle:

Ushahidi! au uzushi pia unaruhusiwa humu ndani?
 
WanaJF wenzangu... threads kama hizi zinatuvua nguo na kutudhalilisha members wote wa JF

nadhani ni wakti muafaka sasa kutumia utashi na busara kuliko kuendelea kuchafua hew namna hii

Hivi mtu akija akaulizia mkeo humu au mamako ni sawa?
 
Naunga mkono
 
jamani nchi kweli imekuwa kimya. Baada ya mbwembwe na shughuli nyingi kwenye awamu ya kwanza, mama salma kikwete hasikiki tena. Hata siku ya wanawake tarehe 8 march 2011 hakuonekana wala kusikika. Yuko wapi huyu mama? Kuna tatizo?:gossip:

heading inamzungumzia mtoto wa kikwete habari yenyewe mke: Salama ni mtoto na salma ndo mkewe.
 
Alieleta Thread hajui anachokiulizia au amekariri habari za Maskani.
hajui hata tofauti ya Salma na Salama
Chunguzeni upupu wenu kabla ya kupost.
 
WanaJF wenzangu... threads kama hizi zinatuvua nguo na kutudhalilisha members wote wa JF

nadhani ni wakti muafaka sasa kutumia utashi na busara kuliko kuendelea kuchafua hew namna hii

Hivi mtu akija akaulizia mkeo humu au mamako ni sawa?

MTM hapa ni mahali pa kujua habari za wanasiasa na mambo yao. Kama mkeo au mamako ni wanasiasa no problem tutawazungumzia. Kama mkeo ni mwanchi wa kawaida tu kwanza hata hatutamjua na hatutakuwa na issue naye maana licha ya kutomjua pia HATUHUSU. Huyu mama alikuja kuomba KURA kwetu hivyo anatuhusu sana whether kwa ubaya au kwa uzuri. Ni mwanasiasa huyo wala siyo mke wa mtu.
 
Back
Top Bottom