otea nani alesema hivi?

waziri mkuu mwenye mvi nyingi na mwizi sana kuwahi kutokea katika historia ya nchi hii, ndg. NGOYAI LOWASSA:tongue:
 
Na kwa taarifa yenu analipwa asilimia80 ya mshahara anaolipwa waziri mkuu kila mwezi ikiwa ni malipo ya waziri mkuu mstaafu.

mhh Ndibalema hebu tupe chanzo cha habari yako tuanze maandamano mpaka kwa mkwere atanagazie umma kama huyu handsome boy alistaafu au kajiuzulu na kwa nn alipwe hizo hela wkt wanachi wanataabika kila kona.
 
tuweke record sawa; kuna kustaafu, kustaafishwa na kujizulu, huyu jamaa alijiuzulu
lugha rahisi:
Kujiuzulu= Kuamua kuacha kazi kwa kukiri kuishindwa kazi hiyo kwa sababu yoyote ile
Hitimisho- kwa hiyo Edward ngoyai lowassa alijiuzulu
asanteni
hayo maelezo ya hilo neno KUJIUZULU yanapatikana kwenye kamusi gani?maana nimependezwa nayo.lakini nina maswali machache (1)huko kustaafishwa ndio vipi? (2)Je mtu aliyejiuzulu anaitwaje? Mjiuzulu au? maana kila nikichakachua sipati picha.
 
Ni dk Slaa na inshu ya mke wa mtu!
NIMEFADHAIKA SANA, NIMEDHALILISHWA SANA, NIMEONEWA SANA KATIKA HILI,, there's a wish which am going to grant, TATIZO NI UWAZIRI MKUU...

ukipatia unapata soda ya bure baada ya kuchezesha draw ya washiriki wote wa shindano hili
 
Back
Top Bottom