Recent content by HSalim

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

    Ila siku hizi channel zipo nyingi tu, na ving'amuzi vipo vingi tu. Ukiona VP uanachana tu na Azam, unaweza ikaangalia tu hata channel za king'amzi cha zuku
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

    Mbona hamna tatizo, itakuwa labda hamna aliyepeleka tangazo la bia
  3. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

    Mimi huwa natafutaga mdada mmoja mrembo namuomba anipe Tight hug kama la 10 - 15 min, hapo unajikuta stress zote zina ondoka
  4. H

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa roho yangu uliimbwa na nani?

    Huu uliimbwa na Jimmy Jamal, na mimi nautafuta sana huu wimbo, sijui nitaupata wapi
  5. H

    JamiiForums Tanzania Hivi One Coin iliishia wapi

    Hivi kuna wataalam wa One coin humu? naomba kufahamu hivi hii kitu iliishia wapi? maana nakumbuka ilikuja na moto wa ajabu
  6. H

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aida Khenani (CHADEMA): Siwezi kuwasaliti wananchi wa Nkasi Kaskazini, mimi ni mbunge halali, ninasubiri kuapishwa tu

    Patamu apo............kama uchaguzi huu ni batili basi na huyu chama chake kisimtambue
  7. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuwaje mwanaume mpaka una miaka 30 au 40 haujaoa na una hela?

    Usije ukashawishika kuoa kwa kufuata mkumbo, utajuta. Kujipanga Muhimu
  8. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mada: Je, ni sahihi kwa mwanamke na mwanaume kuishi pamoja kiunyumba bila ya ndoa?

    kumezuka wimbi kubwa sana la vijana kuanza kuishi kiunyumba kama mke na mume na kuendelea kuzaa watoto bila ya ndoa. Je, unadhani ni sahihi? Karibu toa maoni yako
  9. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikukuu wapi leo?

    working on my pc from morning up to now
  10. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani mimi sijui kutongoza nisaidieni

    hahahahaha usiogope dogo, mtoto wa nyoka hafundishwi kuuma. Ukiona hivyo ujuwe bado wakati wako haujafika, ondoa wasi wasi kabisa, piga mambo yako tu yakimaendeleo, wakati ukifika yaani mwenyewe utaweza dogo.
  11. H

    JamiiForums Tanzania NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Hapana sio kweli dogo, mawazo yako tu. Mimi kuna ndugu yangu Anafanya kazi pale makao makuu na sio Muislamu, na ile nafasi alipata kwenye mwaka jana hivi, kitu kama hicho kama sikosei.................achana na maneo ya kuambiwa, wewe kama unavigezo stahiki apply halafu uone kama hawatakuita.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea mmmh! (Only DIT, UDSM, IAA and Mzumbe graduates)

    Naomba uniunganishe na huyo mtu kiongozi. Hata mimi pia ni Programmer with 4 years and above experience in Software Development industry, ila natamani sana kukutana na huyo mtu nahisi kuna mengi anaweza akanisaidia.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Mh.Angela Kairuki ki ukweli Mungu kakujaalia

    Mh! Hii hapana wazee, hebu muheshimuni mama wa watu bwana......mambo gani haya sasa
  14. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta IT/Computer Geek Partner

    Nakukubali sana dogo kwa kujitambua ni nini unahitaji kufanya. Kiukweli ni hii hali ngumu tu ya maisha hapa Bongo ndio watu tunahangaika kutafuta kuajiriwa na kwenda kupewa vimishahara uchwara. Komaa dogo utatoka tu, kama kweli unafahamu na unaipenda Programming basi juwa kabisa utajiri...
  15. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki waliopo Dar na Moshi

    Hahahah.......dogo unavituko wewe, ila sisi watu wazima tumesha kuelewa. Maana hako ka age range ambako upo huwa kanasumbua sana hako, ila ndio unakuwa dogo usiogope karibu ukubwani
Back
Top Bottom