Hivi One Coin iliishia wapi

HSalim

Member
Jun 6, 2014
34
6
Hivi kuna wataalam wa One coin humu? naomba kufahamu hivi hii kitu iliishia wapi? maana nakumbuka ilikuja na moto wa ajabu
 
OneCoin is a Ponzi scheme[1][2] promoted as a cryptocurrency by Bulgaria-based[3] offshore companies OneCoin Ltd (registered in Dubai) and OneLife Network Ltd (registered in Belize), both founded by Ruja Ignatova in concert with Sebastian Greenwood.[4] OneCoin is considered a Ponzi scheme due to its organisational structure and because of the previous involvement of many of those central to OneCoin in similar schemes.[5] It was described by The Times as "one of the biggest scams in history".[
 
Hivi kuna wataalam wa One coin humu? naomba kufahamu hivi hii kitu iliishia wapi? maana nakumbuka ilikuja na moto wa ajabu
Dr. Ruja alipotea na pesa ya wawekezaji mpaka leo dunia haijui yuko wapi.
Leo FBI imemweka kwenye top list ya watu inaowatafuta.
Hakukuwa na coin kabisa ilikuwa ni oyramid scam
 
Mwaka 2016 kuna mzee mmoja aliekua boss wangu mwaka 2015 ila akafukizwa kazi kwa wizi Magufuli alipoongia ikulu. Mzee akanialika kikao na semina za one coin pale Golden Jubilee Tower ili nijiunge.

Mzee alitumia kila mbinu kunikamata nikamkatalia, Golden Jubilee nilienda siku 2 baadae nikaacha kwenda maana niliona napoteza tu muda wangu.

One coin iliwaliza watu wengi sana. Kuna jamaa yangu mmoja nilimuomya kua hii ni ponzi/pyramid scheme akanikatalia, baadae alikuja kukubaliana na mimi baada ya kua hela zake zimeliwa.
 
Hivi kuna wataalam wa One coin humu? naomba kufahamu hivi hii kitu iliishia wapi? maana nakumbuka ilikuja na moto wa ajabu
Dr Luja Ignatov alipotea na mabilion ya pesa mpaka leo hajulikani alipo na yukl kwenye fbi most wanted list.
Mimi nahisi aliuawa na wenzake.
There was no any cryptocurrency,
 
Back
Top Bottom