Natafuta marafiki waliopo Dar na Moshi

freddie boy

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
589
195
Heyys... natafuta marafiki wapya kabisa umri wowote kabila lolote ata wandorobo rangi yeyote ata kama wa njano dini yeyote uwe dsm sababu mim nipo dsm.ila ata kama upo moshi ni.vyema tu sababu December nakuja kwenye sensa yetu......................sijamaliza ngojaa niweke restrictions kidogo ili msiwe wengi sana.. nataka maximum 10 good friends... elimu yako iwe kuanzia form4 hadi PhD uwe MWANAMKE.tu... sitaki wanaume mimi nimesoma boys skull kuanzia form1 hadi6 kwaiyo nina marafik wengi wa kiume nina uhaba tu wa marafik wa kike.... umri wangu 21 elimu.bado niko chuo.degree dini Christian mengine na picha utazipata whatsapp.. Karibuni 0656879668
 
HSalim

Member
Jun 6, 2014
32
70

Hahahah.......dogo unavituko wewe, ila sisi watu wazima tumesha kuelewa. Maana hako ka age range ambako upo huwa kanasumbua sana hako, ila ndio unakuwa dogo usiogope karibu ukubwani
 
egentle

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
769
500
Hahahah.......dogo unavituko wewe, ila sisi watu wazima tumesha kuelewa. Maana hako ka age range ambako upo huwa kanasumbua sana hako, ila ndio unakuwa dogo usiogope karibu ukubwani
Ukion mtu nickname yake mwishoni mara sideboy, dulaboy. Tegemea vituko tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom