Wimbo wa roho yangu uliimbwa na nani?

Rivarcardo

Member
Jun 22, 2016
13
14
Heshima kwenu wadau wa jukwaa hili,

Najitokeza kuulizia wimbo wa zamani kidogo jina lake limenitoka ila nakumbuka baadhi ya mistari yake ilikuwa 'samahani mama usiitoe mimba yangu naomba uinusuru roho yangu',sikumbuki jina la mwimbaji ila idea ya wimbo nilikuwa mtoto, anamuomba mama yake asiitoe mimba yake.

Karibuni kwa msaada zaidi.
 
Huu uliimbwa na Jimmy Jamal, na mimi nautafuta sana huu wimbo, sijui nitaupata wapi
 
Mama usiniue, inusuru roho yangu
Usiende kwa dokta kuitoa roho yangu
Machozi ya uchungu naililia nafsi yangu
Ni simanzi kwangu, kwa kupoteza uhai wangu....🎵🎶🎶🎶

😊😊😏😊😊😊☺️
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom