Tunakoelekea mmmh! (Only DIT, UDSM, IAA and Mzumbe graduates)

Tunakoelekea mmmh! (Only DIT, UDSM, IAA and Mzumbe graduates)

Aqua

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2012
Posts
1,657
Reaction score
1,237
Tunakoelekea sijui,ila kila jambo lina sababu yake.
Kampuni imetangaza kazi ya mambo ya IT ila inataka waliosoma DIT, UDSM, IAA and Mzumbe tu.Inawezekana wakawa sahihi au si sahihi kutegemeana na mtazamo wao na wako(perception).Sijajua waliosoma vyuo vingine tofauti na vilivyotajwa hapo juu wako deep in shallow au walishawahi kuharibu na kuacha sifa mbaya?Na je ni sahihi kunihukumu mimi kwa kosa la mtu mwingine aliyesoma chuo nilichosoma mimi?Je ni sahihi kufanya "generalisation" kuwa chuo fulani ni wazuri au wabaya kwa kutumia sample ya watu possible less than 20?
Hili unalionaje?Tunaelekea ni kama wenye nyumba kuna dalali mmoja alisema mwenye nyumba hatiki Wahaya na Wachaga.Kwa nini?Mchaga anaijua sana pesa na Muhaya atasumbua anajua Sheria(dont take it too serious!).
Je si jambo jema kama wangesema mapungufu ya hivyo vyuo vingine ili wajirekebisha?
Hii ndiyo Tanzania.
 
Mtu kama mimi kampuni kama hiyo siwezi kufanya nao kazi.. Kwanza hawatonipa hela ya kutosha, pili nawazidi akili sababu hawajui kua field ya computer haijalishi mtu kasoma chuo gani, siwezi kufanya kazi chini ya mtu nayemzidi akili... kwa sababu hiyo mtu yoyote atakayefanya nao kazi kuna proba kubwa kua watakua wanamdharau au wanamlipa isivyotakiwa wakidhania kazi yenyewe its a joke.... Apple, Google, Microsoft wanaajili watoto miaka 19, wanachukua watu ambao hata college hawajaenda, afu wewe mbongo unakuja kusema DIT, UDSM.. stupid.. Wanaangalia cheti badala ya kuangalia competency..
 
kuna sababu wao ndio wanaoijua vyema ukajua kwanini ivo ila huo ni ubaguzi husio na msingi wowote
 
Hizoo ni bwebwe tuu ndugu yanguu in short
Unaposikia nafasi za kazi zimetangazwa kwa mfumo huoo.... ujue kuna ndugu wameshandaa ndugu zao... kwa ajili ya hiyo
Kazi.....

Hata ukisikia umeitwa katika interview
Usije ukajipa moyo eti umesoma udsm
Una g.p.a kali upoo nondoo utapata hiyo kazi ..... lakini huwezi amini unaulizwa
Ukiwa kwenye panel unaulizwa maswali
Unajibuu kwa mbebwee .... kumbe
Watu wanakuchoraa tuu wameshandaa mtu wao.....

Huu ndo ukweli hii nchi kama huna mtu unayefahamiana ....katika ajira
Utazunguka vyuo vyotee mwisho wa siku utarudi nyumbanii
 
Tunakoelekea sijui,ila kila jambo lina sababu yake.
Kampuni imetangaza kazi ya mambo ya IT ila inataka waliosoma DIT, UDSM, IAA and Mzumbe tu.Inawezekana wakawa sahihi au si sahihi kutegemeana na mtazamo wao na wako(perception).Sijajua waliosoma vyuo vingine tofauti na vilivyotajwa hapo juu wako deep in shallow au walishawahi kuharibu na kuacha sifa mbaya?Na je ni sahihi kunihukumu mimi kwa kosa la mtu mwingine aliyesoma chuo nilichosoma mimi?Je ni sahihi kufanya "generalisation" kuwa chuo fulani ni wazuri au wabaya kwa kutumia sample ya watu possible less than 20?
Hili unalionaje?Tunaelekea ni kama wenye nyumba kuna dalali mmoja alisema mwenye nyumba hatiki Wahaya na Wachaga.Kwa nini?Mchaga anaijua sana pesa na Muhaya atasumbua anajua Sheria(dont take it too serious!).
Je si jambo jema kama wangesema mapungufu ya hivyo vyuo vingine ili wajirekebisha?
Hii ndiyo Tanzania.

Hiyo ni short listing usiogope. Watu wao wapo hivyo vyuo vilivyotajwa. Wamesahau tu kutaja mwaka wa kuhitimu na umri. Hahahaaaaaa
 
IT ni pana sana..xo yawezekana vyuo hivyo vna module ambazo wao wanataka mfano wanasoma java....wakati graduate kutoka ifm hawasomi java...xo m2 wa java inabdi atoke vyuo hivyo

Mtanzania hivi unajua kua programmers wengisana wanaoheshimika duniani hawakusomea hizo languages darasani? Programming chuoni mtu anafundishwa nini cha msingi ambacho hakipo online?? hata choni kwenyewe ni bidii za mtu, programming sources hua ni vitabu na internet tu, kusema chuoni utakutana na mapya its a big lie...
 
IT haipo chuOni, ipo kichwani mwa mtu! Jua kuna watu ni zaid ya fire, anaanza mwaka wa kwanza lakini tayar anajua kila kitu na vya myaka ya mbele...
 
Na huu ni ubaguzi

nimesoma Mzumbe

ila jambo hili si jema hata kidogo

sheria ya kaz inakataza ubaguzi wa aina yoyote ile ktk ajira
 
kabisa nina mshikaji hajasomea mambo hayo ila watu wa IT kila siku ndo kimbilio lao kusaidia mambo ya ki IT. hivyo unachosema ni kweli mkuu

Naomba uniunganishe na huyo mtu kiongozi. Hata mimi pia ni Programmer with 4 years and above experience in Software Development industry, ila natamani sana kukutana na huyo mtu nahisi kuna mengi anaweza akanisaidia.
 
Source:System Designers (Only DIT, UDSM, IAA and Mzumbe graduates) Job in Arusha, Tanzania

H2xmM25K17ceAAAAAElFTkSuQmCC
 
mawazo yenu tu lakn wako sahihi. watakuwa wamefanya utafiti wa course contents na uwepo wa malecture ktk hvyo vyuo wakaridhika. nawaunga mkono kwa kuwa specific kuliko kuita watu kibao na kuwapotezea muda. ivi mwanamke akitangaza kutafuta mchumba lakn hataki mfupi ww utalalamika au utachukua hamsini zako? mm kuna vyuo vikuu hapa tz naviona kama VETA tu. wako sahihi
 
Nimaoni yako. Lakin chuo akimfanyi mtu kuwa best kuliko wengine. Programming nikitu kimoja cha ajabu sana. Unaweza ukawa na phd na ukashindwa na mtu mwenye certificate. Hili me napingana nao. Tuache kuajiri kwa kuangalia vyetu na chuo, bali uwezo watu.
 
Nimaoni yako. Lakin chuo akimfanyi mtu kuwa best kuliko wengine. Programming nikitu kimoja cha ajabu sana. Unaweza ukawa na phd na ukashindwa na mtu mwenye certificate. Hili me napingana nao. Tuacha kuajiri kwa kuangalia vyetu na chuo, bali uwezo watu.

Niwabaguzi na Tanzania haitokaa iendelee kwa style hii
 
labda kwa ww unayezungumzia programming lakn kwa cozi nyingine lazma mtu uwe selective believe me or not
 
Haaaa acheni bwebwe kuwa udm haijalishi kwamba ndo unajua kujuwa ni jihadazako. Za,mtu binafixiii......! Xo msitiswe na majina ya vyuooo
 
Back
Top Bottom