Recent content by Hikma

  1. Hikma

    SoC01 Kifo cha mtu uliyemzoea mtihani mgumu sana kufaulu

    Nakuelewa sana na namuelewa sana Deejay nasmile. Inaelekea kuwa mwaka wa pili sasa tangu tumpoteze last born wetu ghafla kwa ajali. Mwanaume nimelia, kwa sauti na kwa kugugumia. Nimefanya maombi binafsi na kwa viongozi wa dini ili uchungu, hudhuni na makiwa viishe lakini wapi. Pirika za maisha...
  2. Hikma

    Electric Car Jack & Impact Wrench (DC Powered)

    kamata 200,000 hapa, hali si hali
  3. Hikma

    Frankie Maston - Kipaji chenye utata Sampuli ya Wanaume wa Dar

    Mnatoka mbwinde huko na matatizo yenu mnakuja Dar kutafuta soko, hapa mnakutana na maluuni wenzenu wanawavuruga halafu mnajiita wanaume wa Dar #@%^^^*)(&^*^
  4. Hikma

    Haiba za wakuu wa shule za sekondari za zamani

    Hahahaaaaa, there you are comrade. Baba mlezi yule. Alikuwa anatokea mara chache kuja kupoza joto la purukushani za akina ndugu d, makali, kaswa, massele and co. Gone are good days, only memories remain.
  5. Hikma

    INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

    275/70R16- TAIRI ZA PRADO/NISSAN PATROL - Hizi bei gani?
  6. Hikma

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco watu wa mwasonga tunahitaji umeme mda mrefu ila usambazaji una urasimu sana. Mna mpango gani?
  7. Hikma

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Maisha yanaendelea. We are united
  8. Hikma

    Hivi virusi vya UKIMWI sio jamani, wapendanao wafarakana baada ya majibu

    Comment ya hovyo ya siku ingawa tutaheshimu mawazo yako. Ndugu ushawahi kwenda kupima?au kuishi na mtu anaetumia arv? Au kuuguza mgonjwa kabisa? Naomba urudi tena kuja ku comment ukishapitia stage hizo?
  9. Hikma

    Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Kigamboni

    Hongera sana mheshimiwa mbunge wetu Dr. Ndugulile kwa kuteuliwa kuwa naibu waziri. Naamini hii ni chachu nyingine kwako katika kuharakisha maendeleo ya jimbo letu. Tafadhali naomba kukukumbusha kero zetu wakazi wa mwasonga. Umeme. Upo kijijini ila transformer na usambazaji ndio issue. Wananchi...
  10. Hikma

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Washakalia Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Hikma

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Poleni nyumba hii japo wenye msiba hampo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Hikma

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Cha msingi sisi tushashinda tena goli 4, points 3 muhimu na clean sheet. Hayo mengineyo yanawahusu ninyi na westham yenu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Hikma

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wachawi wanajitahidi kuponda ila moyoni wanajua Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Hikma

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hali ya mgonjwa ndio hivyo hivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Hikma

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Jamani na mie nimekuja kutafuta likes. Hebu kandamizeni hizo likes nami niwe teja Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom