Recent content by herrera

  1. herrera

    Idadi ya miradi mikubwa inayotekelezwa na Rais Samia mkoani Mbeya

    Makongolosi to Rungwa? Acha uongo, hakuna shughuli yyte inayo endelea kwenye hii barabara
  2. herrera

    Wadau ninasoma bachelor of science in chemistry sion future katika hii kozi naomb ushauri

    Njoo tuendeshe wote bodaboda jombaa, 2015 nimemaliza UD same course
  3. herrera

    JE CRDB hawataki kukopesha?

    Ndio ilikua target yangu but nilifeli kufungua account, tabora nzima hakuna tawi la azina
  4. herrera

    JE CRDB hawataki kukopesha?

    Wakuu kama kuna mtu wa crdb humu au mwenye taarifa kamili naomba atujuze hili suala. Mimi ni mtumishi wa serikali nilifanya maombi ya mkopo toka jumatatu kupitia mfumo wa ess ila maombi yakawa yamekwama level ya service provider ku accept ili afisa utumishi aweze kuona na kupitisha, kesho yake...
  5. herrera

    Msaada namna ya kuunganisha sound bar

    Jamani naombeni msaada namna ya kuunganisha sauti ya kwenye tv niwe naisikia kupitia sound bar
  6. herrera

    Nimeletewa Kesi: Mke wangu anatoka kimapenzi na Mume wa Mtu

    Kwa akili yako unafikiri mke atakubali kuwa kweli natembea nae?
  7. herrera

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    United we stand
  8. herrera

    Bei mpya elekezi ya mbolea

    Time will tell
  9. herrera

    Series (Special thread)

    Wakuu naomba nisaidieni namna ya ku download movie with subtitle
  10. herrera

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mkuu Manchester ya van gaal ilikua inacheza soka la kuvutia?
  11. herrera

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Managers are hired to be fired United we stand [emoji123][emoji123][emoji123]
  12. herrera

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mtani upo? Mbona kama jogoo limeanza kutetemeka?
  13. herrera

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mourinho anajua sana kucheza na akili za watu. Alipokua Madrid alifanya baadhi ya mashabiki wa Madrid wamchukie Casillas na wamuamini diego lopez, aliporudi Chelsea kuna baadhi ya mashabiki wakawa wanawaona akina hazard ni traitor na hawana kiwango cha dunia, saizi yupo Manchester anataka...
  14. herrera

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ozil ni famous dunia nzima, ni model wa watu wengi sana duniani, watu wanaangalia anafanya nini, Turkey ilikua kwenye vuguvugu la uchaguzi na Erdogan ni mmoja wa wagombea, alafu unaenda kupiga picha na huyo mgombea, katika hali ya kawaida unadhani watu wataipokeaje? Pili, Erdogan ni mhasama...
Back
Top Bottom