Recent content by HekimaMoyoni

  1. HekimaMoyoni

    JamiiForums Tanzania Mnawaruhusu wake zenu kwenda kuoshwa miguu saloon - angalia yanayofanyika huko

    Mwanaume gani Dar Hii anakubali kumwosha mkewe miguu? Mimi hua namwosha na kumkata kucha ila ikifika zamu na mimi nahitaji hiyo huduma hataki kabisa kusikia, hapo ndipo tunaenda saloon sasa. Sidhani kama saloon tunafuata tu huduma ya kuoshwa miguu, kikubwa ni massage unayofanyiwa wakati...
  2. HekimaMoyoni

    JamiiForums Tanzania Nahitaji dishi kubwa - Msaada

    Nenda kariakoo Mkuu, madish yapo ya kila aina. Kwa vipimo mbalimbali
  3. HekimaMoyoni

    JamiiForums Tanzania Mume na mke kuishi mbali mbali, 'is it healthy'?

    Kwa nini Mme asiache kazi akamfuata mkewe? Kwa nini siku zote mwanamke ndio anapaswa kuacha kazi
  4. HekimaMoyoni

    JamiiForums Tanzania Mume na mke kuishi mbali mbali, 'is it healthy'?

    Ndio. Kwani wanaume wa siku hizi kazi sio mke wa kwanza?
  5. HekimaMoyoni

    JamiiForums Tanzania kwako mpenzi!

    Asante Kipenzi
  6. HekimaMoyoni

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    mnaoangalia tupeni update please
  7. HekimaMoyoni

    JamiiForums Tanzania Mbinu 10 za kumdhibiti mke/GF jeuri.......(FOR REAL MEN ONLY)

    kweli wanaume wengine wamefilisika Kimawazo/kimtazamo. Huyo mkeo mmeoana ili mkomoane? kua na hela kuliko mkeo ndio sababu ya kumfanya mtumwa. mbona hujawasaidia wanaume ambao wana kipato kidogo kuliko wake zao? Kama wake zao ndio wanalipa bili ya maji, luku kusomesha na kadhalika, je wanaume...
  8. HekimaMoyoni

    JamiiForums Tanzania Kipi ni sahihi kati ya kuoa/ kuolewa au kuoana?

    Kuoana ndio sahihi..
  9. HekimaMoyoni

    JamiiForums Tanzania Alama gani unamwachia mpenzi/mwenza wako?

    Mimi Hua nampa kiss, na kumwambia kua nita-mmiss sana kutwa nzima. Namsifia kwa utundu aliouonyesha usiku na namwahidi mapenzi moto moto akirudi. Ikifika mchana nam-text na kumpa ujumbe flan unaoonyesha kua namhitaji.
  10. HekimaMoyoni

    JamiiForums Tanzania Ndoa za kikristo ni mkataba wa milele......

    Ndoa za Kikristo hazisemi hivo Mkuu. Mke/Mme unaweza kumwacha kwa sababu za uasherati. Yeye akale Uroda huko nje aje na Ngoma halafu niendelee kumkumbatia, wakati kayataka mwenyewe? Labda nisijue na nijikute kashaniambukiza.
  11. HekimaMoyoni

    JamiiForums Tanzania Ndoa inapokuwa ni ya ndugu na wazazi………………

    I stand to be correct.... Ukiona ndoa inaingiliwa na ndugu, Mama/Baba mkwe, mawifi na mashemeji. Tatizo mara nyingi ni udhaifu wa Mwanamme. Mume anashindwa kutenganisha kati ya ndugu/wazazi na Mke, na majukumu gani anapaswa kufanya kwa ndugu au Mke. Sikatai kwamba kuna baadhi ya wanawake...
  12. HekimaMoyoni

    JamiiForums Tanzania Hivi...wanaume tu ndio wapweke?!

    Nashukuru sana Riwa kwa kuliona hilo, Mabinti wengi sio hulka yetu kusema tukiwa wahitaji. Mimi ni Mpweke sanaa.. Nahitaji wa kuniliwaza.... Ni PM tu, nitajibu bila hila...
  13. HekimaMoyoni

    JamiiForums Tanzania Nimemkuta anafungasha mizigo yake akitaka kuondoka!

    Umeongea ukweli mtupu AshaDii, unakuta mwanamke mpole, au alishawahi kusema siku moja akapata response ambayo sio nzuri, na hata akapata majibu kabla hata hajamaliza kueleza anachotaka kusema, ukweli kuna wanaume ambao hawana mda wa kusikiliza mawazo au kujua hisia za wake zao, kila anachofanya...
  14. HekimaMoyoni

    JamiiForums Tanzania Tulia.... Vuta Taswira...

    NN, assume you have a lot of money, But you dont have Kid. Will you be happy? Mimi naamini furaha maishani haisababishwi na kitu kimoja. Ni mchango wa vitu vingi, pamoja na kwamba, kua na familia yenye upendo, fedha na kua na marafiki wa kweli (kujisikia kuna watu wanakujali) kunachangia utamu...
Back
Top Bottom