Ndoa za kikristo ni mkataba wa milele......

ZENTEL

Member
Sep 16, 2011
30
6
nataka kujua ivi mfano umemuona mmeo au mkeo ametoka mwa m/ke au m/me gest na mtu unaemjua kabisa ana h.i.v ...............na ukagoma kulala nae kwa madai ya kwamba mpaka mpime..........mkipima mwenzio ana hiv we huna je mtaachana au mtaendelea kuwa mtu na mumewe? Utakubali upate hiv na ww kwa kua amri ya dini mpaka mmoja anakufa?
 
Maneno mbofu mbofu....................tafuta maada nyingine
 
Khaaa! Hilo ni swali au jibu! Upendo gan wa kuambukizana virus?.. Kama yamekukuta, tafakari na uchukue hatua.
 
Msaidie huyo mke/mme kwa kwenda hospital atapewa tiba ya PEP (Post Exposure Prophylaxis). Inatolewa kwa cases km hiyo, au mtu/mtoto amebakwa etc. It has to be within 72 hrs tokea tukio litokee....... Akiipata atakua ngoma free..... Karibu vituo vyote vya afya Tanzania wanatoa hiyo huduma.

Swali la msingi kwanini mwenzi wako a-cheat?????????????????????????????? Ukimwacha huenda u r the source of the prob?
 
Ndoa za Kikristo hazisemi hivo Mkuu. Mke/Mme unaweza kumwacha kwa sababu za uasherati.
Yeye akale Uroda huko nje aje na Ngoma halafu niendelee kumkumbatia, wakati kayataka mwenyewe? Labda nisijue na nijikute kashaniambukiza.
 
Sijui hii ya kwako umeipata wapi
Mwanamke anawez akuachwa kwa sababu ya uasherati mkuu na kama ametoka nje na umemuona sasa unasubiri nini
Na hiyo ngoma si sign kwamba alizini nje
Sasa unasubiri kushikiw abastola uambiwe kuwa huyu hafai tena kuwa mke
 
Tumia akili wewe " mbona yeye atakuwa amekutenga kabla ya kifo mpaka ukamkuta guest house?"
 
" ukiikosa haki ndani basi itafute nje ndivyo alivyofanya huyo mwenza"
 
Hiyo sheria ilitungwa kabla ya ngoma, imepitwa na wakati ndugu yangu. Mungu amekupa akili, itumie
 
ndoa ya kikristo ni mkataba wa hiari kama mikataba mingine. tunaambiwa mnaweza kuachana kwa ajili ya uasherati,ila kuna issue ya kusamehe 7 x70. umeambiwa kuhusu PEP, hiyo ni immediate measure. kama mwenza anakubali kosa, na anataka kubadilika kimatendo na kuanza upya zoezi la kujenga uaminifu ndoa inaweza kuendelea. lakini umeshafikiria kuhusu binti ama kijana wa miaka 27, ambaye mwenza wake ameamua kumuacha na kuenda kuishi kinyumba na mtu mwingine. unadhani yeye ataishije kwa kuepuka dhambi na kutimiza mahitaji ya kimwili? kuna case niliiona papa alitoa ruhusa ya a divorced man kufunga ndoa tena aftr 10+ yrs of arguments! ndo maana bible inasema uzinzi (nadhani uliokithiri) unavunja ndoa.
 
Kwetu sisi wakatoliki... Kama alitoka nje, unaruhusiwa kuachana naye. Kama mkeo amepata ngoma (ila isiwe kwa njia ya uasherati) mnaruhusiwa kutumia kinga.
 
Msijiumize sana vichwa ndoa ni imani tu, watu wengi siku hizi ni house mates tu ili kulinda maslahi na heshima, kama ukimkuta mkeo/mumeo na mtu mwingine hakuna ndoa hapo. kuna watu wengi wanaishi pamoja lakini kila mtu ana ndoa yake kando, huo mpango wa kando ndio unapata upendo woote ila people are so cowards to go for what they want instead wanaamua kuishi coz of watoto, mali na labda kuogopa jamii itawaonaje. so its up to you to decide if you want ndoa na mtu unaeishi naye au na mpango wa kando.
 
Hivi watu tunaogopa ukimwi ni kwa sababu ugonjwa huu unaua au kwa sababu hauna tiba? Kuna watu huwa wanafanya mapenzi hata kama wana malaria, vifafa n.k. Lakini ikija issue ya ukimwi, mtu ataruka kimanga as if kafumaniwa.
 
ndoa ya kikristo ni mkataba wa hiari kama mikataba mingine. tunaambiwa mnaweza kuachana kwa ajili ya uasherati,ila kuna issue ya kusamehe 7 x70. umeambiwa kuhusu PEP, hiyo ni immediate measure. kama mwenza anakubali kosa, na anataka kubadilika kimatendo na kuanza upya zoezi la kujenga uaminifu ndoa inaweza kuendelea. lakini umeshafikiria kuhusu binti ama kijana wa miaka 27, ambaye mwenza wake ameamua kumuacha na kuenda kuishi kinyumba na mtu mwingine. unadhani yeye ataishije kwa kuepuka dhambi na kutimiza mahitaji ya kimwili? kuna case niliiona papa alitoa ruhusa ya a divorced man kufunga ndoa tena aftr 10+ yrs of arguments! ndo maana bible inasema uzinzi (nadhani uliokithiri) unavunja ndoa.

Inategemea ndoa ya kikristo dhehebu gani. Kwa wakatoliki ni issue ndefu sana. Unaweza ukaja kufa bado haijawa resolved.
 
Nami nawaambia ninyi:kila mtu atakayemwacha mkewe,isipokuwa ni kwa sababu ya UASHERATI,akaoa mwingine,azini,naye amwoaye yule aliyeachwa azini(Mathaya 19:9)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom