Nahitaji dishi kubwa - Msaada

Nahitaji dishi kubwa - Msaada

rmashauri

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Posts
3,011
Reaction score
462
Heshima yenu wakuu,
Huwa naona kwenye nyumba za watu binafsi wameweka madishi makubwa maarufu kama "ungo" yale ambayo yako kama chujio. Ningependa kujuwa kwa wenye uzoefu nayo, nayapata wapi kwa hapa DAR na chanel zilizomo kwa kifupi na gharama zake. Asanteni sana.
 
Wakuu hakuna mtu mwenye uzoefu na hii kitu? Au kujua wapi yanapatikana kwa hapa DAR?
 
Unaposema dish kubwa,Ukubwa wa Nchi ngapi?au wewe unataka kushika channel zipi,fafanua! Dar karibu na Jengo la club ya simba kuna duka (kwa Bonge)utayapata
 
Nenda kariakoo Mkuu, madish yapo ya kila aina. Kwa vipimo mbalimbali

Mkuu unafahamu specifically duka gani au mtaa ninapoweza kuyapata? Nahitaji yale makubwa na yako kama chujio hivi.
 
Unaposema dish kubwa,Ukubwa wa Nchi ngapi?au wewe unataka kushika channel zipi,fafanua! Dar karibu na Jengo la club ya simba kuna duka (kwa Bonge)utayapata

Mkuu interest yangu ni channel zile za bure za dini kama Emmanuel TV pamoja na CNN na National Geographic if possible
 
Back
Top Bottom