kwako mpenzi!

kwako mpenzi!

asakuta same

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
14,829
Reaction score
5,039
ngoja na mimi leo nitoke kimtandao, hii ni special kwaajili yako mpenzi,

p6982.gif


ni mimi mpenzi wako AS.
 
Haya nyie wenye wapenzi njooni huku, sisi manungayembe na magumegume hizi sio anga zetu!
 
mie ndio nakueleza mkuu kila mdada anayeniona ananikimbia kwa uso mbuzi nilionao...

sa unaonesha sura ako inaliwa.....!!!
onesha wallet uone tutakavojazana hapo teh!.....
Happy new year watu8
 
mie ndio nakueleza mkuu kila mdada anayeniona ananikimbia kwa uso mbuzi nilionao...

hebu waulize lara 1 ,evelyn salt na ciello km kinapendwa sura au wallet.
happy new year mkuu.
 
sa unaonesha sura ako inaliwa.....!!!
onesha wallet uone tutakavojazana hapo teh!.....
Happy new year watu8

Yaani sioneshi wallet tu bali nawatengenezea na Master Card au VISA card kabisa...kinachobaki ni kuchanja tu.
Heri ya mwaka mpya nawe pia mpendwa...ubarikiwe!
 
happy new yeaarrrrrr to u to dear
 
Back
Top Bottom