Alama gani unamwachia mpenzi/mwenza wako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alama gani unamwachia mpenzi/mwenza wako?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NewDawnTz, Sep 26, 2011.

 1. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nadhani watu wengi hawajadhani na kuona umuhimu wa jambo hili...

  Kila siku inapoanza (hasa za kazi kwa sisi wafanyakazi) tuna masaa mengi ya kututenga na wapenzi wetu kwa zile shughuli na pilika za kutwa nzima....huwa ni kitu gani unafanya asubuhi wakati kila mmoja anapochukua njia yake kuelekea kwenye pilika za kutwa ili kuendelea kuweka uzito na hamu ya kukutana tena jioni mara baada ya saa za kazi?

  Tupe uzoefu wako hapa na namna ulivyoona inavyofanya kazi kwenye kuweka ile hali ya "kutamaniana" in such a point it is hard to wait till you meet again later evening...

  Karibuni
   
 2. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mie huwa nashukuru muda wa kutengana asubuhi unapofika.
  OTIS.
   
 3. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nianze kwa kutoa uzoefu wangu binafsi...

  Kwanza niseme wazi kuwa "Nyota njema huonekana asubuhi"...unavyoanza siku kwenye penzi lako kunaamua litakavyokuwa siku nzima...

  Asubuhi muda mchache kabla hatujaachana kila mtu njia yake ya kazi huwa nafurahia kusimama "farewell area" ambayo tumejiwekea nyumbani kwetu nikimkumbatia na kumtakia kazi njema na siku njema then i kiss and let her go.......I also make a promise ya surprise yoyte itakayomweka kutwa nzima kuwaza (sio lazima kiwe kitu chenye kutumia fedha) japo najua ni nini nitakachokifanya.....always makes her want more from me and on the other side she is not short of surprizes kwangu na hii inafanya kila mara tuitamani sana jioni kwa kuwa tunajua kutakuwa na kitu fulani kipya....

  Note: Ni muhimu kuwa mbunifu ili kuhakiisha hakuna "uyebo yebo" utakaokinaisha.....si unajua tena nafsi nayo ina njaa na inataka kushibishwa jamani......lol
   
 4. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hhaaaaaa, dah mkuu hili nalo neno.........

  pole sana kaka, you need to seek some help and advice mkubwa maana hilo sasa balaaa....

  Unaweza ukatusaidia kujua ni kwa nini unafurahia kutengana asubuhi? There must be some reason interesting to hear
   
 5. HekimaMoyoni

  HekimaMoyoni Member

  #5
  Sep 26, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi Hua nampa kiss, na kumwambia kua nita-mmiss sana kutwa nzima.
  Namsifia kwa utundu aliouonyesha usiku na namwahidi mapenzi moto moto akirudi.

  Ikifika mchana nam-text na kumpa ujumbe flan unaoonyesha kua namhitaji.
   
 6. K

  Kungwi Member

  #6
  Sep 26, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ucku ni muda wako mzuri kumfanya kesho akukumbuke nakutamani kukuona tena
  na kikubwa ni upendo wa kweli coz alama haina umuhmu watu wengi wanaibiwa na hawajui.
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Siku hizi siyo kama zamani, ma-simu ya mejaa tele ni kutuangiana tu unapojihisi kumsikia hata salam, maana sauti pia ni kionjo tosha
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  kwahiyo nyinyi kila siku usiku ni watu wa kufanya mautundu? Basi lazima itakuwa imeota sigida hiyo kitu.
   
 9. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  kwahiyo nyinyi kila siku usiku ni watu wa kufanya mautundu? Basi lazima itakuwa imeota sigida hiyo kitu.
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,103
  Likes Received: 6,567
  Trophy Points: 280
  naomba awahi kutoka kabla baba muuza samaki hajapita, kwani akimkuta hawezi kunipa nyongeza.
   
Loading...