Hivi...wanaume tu ndio wapweke?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi...wanaume tu ndio wapweke?!

Discussion in 'Love Connect' started by Riwa, Sep 15, 2011.

 1. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Kila nikipita hapa 'love connect' nakuta posti za wanaume tu nyingi zikisema wako wapweke wanatafuta wenza/wapenzi/wake/wachumba/marafiki wa kike...hadimu sana kukuta mwanamke kaposti kutaka mwenza (labda bebii tu naye alituzeveza maana hatukupata majibu ya applications zetu!).

  Sa najiuliza, hivi ni wanaume tu ndio wapweke na wenye uhitaji wa wenza? Au dada zetu mnaugulia tu kimya kimya? Tangazeni bana watu wachangamkie...
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  Natangaza rasmi nia.........
   
 3. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,356
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Haya! huyu hapa anakusikiliza!!
   
 4. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Na mi natangaza sasa,njooni
   
 5. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwa mila zetu, mwanaume ndo huwa anaanza, so tunaona aibu sie wadada.....:)
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Natumaini sasa hivi utakuwa umeishapokea maombi ya kutosha
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mimi inanishangaza wanaotangaza wengi ni new member
  je wazoefu humu hakuna mwenye upweke?lol
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  ukipata wawili nirushie mmoja.
   
 9. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #9
  Sep 15, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Bebii popote ulipo njoo ujibu tuhuma hapa...
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Sep 15, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  bado sijasoma pm zenu sijapata nafasi?
   
 11. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #11
  Sep 15, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kaka siku hizi utaona member wakongwe ndo hufungua ID mpya then kutangaza nia
   
 12. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #12
  Sep 16, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Dah ulijuaje?ata sijui nianze na ipi?
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Sep 16, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Anza na hiyo iliyoko hapo kwenye meza ambayo amembatanisha picha yake
   
 14. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #14
  Sep 16, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hapana huyu jamaa ni mfupi sana,hatutawezana.ngoja niangalie huyu wa pili nadhani atanifaa
   
 15. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #15
  Sep 16, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Anza na ya kwangu plzzzz.
   
 16. HekimaMoyoni

  HekimaMoyoni Member

  #16
  Sep 16, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana Riwa kwa kuliona hilo, Mabinti wengi sio hulka yetu kusema tukiwa wahitaji.

  Mimi ni Mpweke sanaa.. Nahitaji wa kuniliwaza....
  Ni PM tu, nitajibu bila hila...
   
Loading...