Recent content by hans2014

  1. H

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu yale yale uliyoyasema....

    UNAJUAJE LABDA TUNDU LISSU NDIE ALICOPY?? AG MPYA KAMZIDI TUNDU LISSU KWA MENGI NI LECTURER NI CHAIRMAN TUNDU LISSU NI MWANAFUNZI ANAWEZA KUWA ANACHUKUA VITU KWA WATU SABABU ANA SEHEMU YA KUONGELEA, TUNDU LISU NI MWANASIASA LAZIMA UJUE TOFAUTI YA MWANASIASA NA MWANASHERIA HAPO NDIO ANAKOSEA...
  2. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upper hill land an acre goes for sh 551 million = 11.020 billion Tanzanian shs.

    Even KIBERA,NGARA,KASARANI,GIKOMBA are planned also??or those places are not in Nairobi??not to mention othet places
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kilichomponza Tido Mhando ni uzalendo wake

    [emoji115][emoji115]
  4. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

    2015 thamani ya gar hili $550,00/= cjui sasa bado kodi haya tuone isije kuwa la kukodi kama ile nyumba
  5. H

    JamiiForums Tanzania Botswana waichana live USA

    Kungekua na maraisi watano kama wa botswana TRUMP angonyooka na kuona waafrika wa sasa sio wale waliochukuliwa utumwa Huwezi kuziita Africana country "shithole" halafu baadhi ya maraisi wanakaa kimya yaani kwa kiswahili cha kawaida "nchi za africa ni shimo la choo" huyu TRUMP lazima apimwe...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ajaza fomu ya Utumishi, pia awasilishwa Muswada binafsi wa kulazimisha Viongozi kuweka wazi mali na madeni

    Mbona magari yake hajaandika??[emoji604][emoji604] Au sio mali Hasa lile HUMMER
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kajala hii sio namna ya uvaaji katika runinga

    Nashangaa shepu hii sio ya kuvaa nguo kama hizi halafu ktk TV
  8. H

    JamiiForums Tanzania Namtafuta X wangu

    Hata kama anatafutwa na wasiojulikana we utasema tu unamjua [emoji601][emoji379][emoji379]
  9. H

    JamiiForums Tanzania Gwajima apingana na msimamo wa Serikali juu ya mji mkuu wa Israel. Asema Jerusalem ndio mji mkuu, ampongeza Spika Ndugai

    Katika watu wapotoshaji na wachonganishi ambao wanaweza kuleta hata vita Tanzania ni GWAJIMA Mnamkumbuka ASKOFU KIBWETERE?? Bas ndio sample yake huyu Ila katika watu watakao pata taabu za dunia ktk utawala huu ni huyu jamaa kuliko hata hao mafisadi system inamxemshia dawa yake kutokana na...
  10. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahis mke wangu kapewa ujauzito na staff mwenzake na akautoa.

    Yote inaweza kuwa sawa ila ila ulipokosea ni kuomba namba ya simu ya mke eti umpigie [emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
  11. H

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Tanzania yapiga kura Umoja wa Mataifa (UN) kuhusu kutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel

    TANZANIA HAIPO SIONI IMEPIGA KURA IPI??
  12. H

    JamiiForums Tanzania Sakata la Airtel: Mkapa, Mwandosya, Warioba na Chenge wataponaje?

    NILIKUA NAJIULIZA UKIMYA WA LOWASSA NI KWA NINI?? KUMBE KASHAMBIWA UKIBEEP TUNAPIGA SASA JPM ANAPIGA...NAONA 2020 ATASIMAMA MBOWE
  13. H

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Nimekutana na Mwenyekiti wa CHAUMA, nafurahi tumekuwa na mazungumzo mazuri

    KESI YAKE ILIISHA??AU TUACHE MAHAKAMA IAMUE SAWA... HAYO MAZUNGUMZO YAWE NA MATUNDA MAANA WENZIO WALIVYOUNDA UKAWA ULIWAKANA SASA UNAUNDA UKAWA 2020 TUSUBIRI NANI ATAKUA KIONGOZI WA UMOJA HUO AU NANI ATASHIKA BENDERA
Back
Top Bottom